Msaada kwenye public service recruitment portal

Msaada kwenye public service recruitment portal

Mkuu kwani ungesema hufahamu/huna uhakika ingekuaje? Tuwe tunawapa watu taarifa sahihi ili tuwasaidie.

Nilimjibu kutokana na kuangalia profile za watu wengi ..ndiyo maana sikupinga kitu baada ya comment hii kuna mtu alisema yake imefika 100 na nikajibu OK kwa sababu alinisahihisha..so pitia comment nyingine b4 hujacritesize.
 
Sawa mkuu nimeiona, Ila concern yangu Ilikuwa kwenye statement tu. As long ume-declare; Basi tuendelee jukwaani mkuu hakuna shida kuu. Ni kujengana tu.

Usiwaze mkuu nilisharekebishwa..naamini hukuona ndio maana ukanipa tena correction...One love
 
kwani ikifika mia ndio unaajiriwa mm mbona nimeajiriwa kwa 60%
Naomba kujua kama mtu ameshajaza taarifa zake zote na bado system haikubali kuaply inatoa incomplete profile inatakiwa nifanyeje?
http://ajira.go.tz/index.php/faqs#collapse6

Ni kweli inawezekana umejaza detail zote sasa tatizo la system kutokubali ni kwa sababu profile yako haijafikia asilimia 70, Hivyo,unatakiwa kurejea kwenye portal sehemu ya Academic Qualifications na kuhakiki kama utakua umeweka vyeti vyote, hakiki vyeti vyako kimoja baada ya kingine unaweza kukuta baadhi ya vyeti hujaviambatisha kwenye mfumo. Endapo tatizo hilo litaendelea tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0687624975 kwa maelekezo zaidi.
 
Usipiweka picha inakuaje?? Maana picha imezingua na mtu kaniambia nimuombee!

Narudi kijijini
 
Naomba kujua kama mtu ameshajaza taarifa zake zote na bado system haikubali kuaply inatoa incomplete profile inatakiwa nifanyeje?
Ni kweli inawezekana umejaza detail zote sasa tatizo la system kutokubali ni kwa sababu profile yako haijafikia asilimia 70, Hivyo,unatakiwa kurejea kwenye portal sehemu ya Academic Qualifications na kuhakiki kama utakua umeweka vyeti vyote, hakiki vyeti vyako kimoja baada ya kingine unaweza kukuta baadhi ya vyeti hujaviambatisha kwenye mfumo. Endapo tatizo hilo litaendelea tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0687624975 kwa maelekezo zaidi.
Kwenye kuambatanisha vyeti kuna error inatokea vinagoma ku-upload
 
Kwenye kuambatanisha vyeti kuna error inatokea vinagoma ku-upload
Mkuu Itakuwa vyema kama utaweka Error message hapa, ili kama kuna aliyewahi ku-experience the same problem itakuwa rahisi kuifahamu, kuliko ukisema kuna error bila message inakuwa ngumu, maana mifumo ya TEHAMA error ni nyingi kulingana na tatizo na solution zinakuwaga tofauti tofauti kulingana na error message iliyo display.
 
Nimeupload vyeti lakini kuvisevu mfumo unagoma kabisa. Inauma sana, basi tu.
 
Hivi mwisho si tarehe 17 maana mpaka leo sa a 5 na dk 49 .Au mwisho leo wa working hours.Mana wengine mpaka muda bado hatujatuma
 
Acha kupotosha watu, wanaofika asilimia mia no wale wanaosomeka wana professional flani, ambapo ukijaza kipengele cha professional qualification na kwengine umejaza vizuri ndio inafika 100% otherwise haifiki mia...na nakumbuka walisema 75% ikisoma haina shida.
Bila 100 huitwi mkuu, jaza hata taarifa zisizo na umuhmu
 
Jamani naomba kuuliza hivi ku-upload attachment nako kuna deadline?mfano ulisahau ku-upload cheti au uli-upload ikagoma halafu ikakubali baada ya Deadline vipi watavikubali?
SECTA BINAFSI SASA HAKUKALIKI MGUU NJE MGUU NDANI,WACHA NI-APPLY MAANA HAKUNA NAMNA
 
Back
Top Bottom