Kuhusu ku-certify vyeti

Kuhusu ku-certify vyeti

Mwenye maelezo ya kina anipe kuhusu hili jambo kwenye recruitment portal,pia ukisha certify unaataatach sehemu gani.thanks
Angalia wasikupeleke chaka,,,kwanza wajue kutofautisha academics attachments na other attachments,sasa vyeti ushacertify unaweka kwenye other attachment ili iweje wakati kuna sehemu ya kuattach academic certificates,attach izo certified doc kwenye academic according to category kama ni chuo merge Cheti na Transcript as single doc then attach pale kupdate status,usiweke kwenye other attachments...kwenye other attachments kule ukiingia inajieleza nini cha kuattach
 
Back
Top Bottom