Recent content by isima

  1. isima

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda mna nini? Nimelipia king'amuzi cha DSTV toka jana sijapata sms ya muamala kukamilika wala fedha kutumwa DSTV na niliangalia salio mmenikata hela na nikiwapigia simu haipokelewi naombeni mrudishe hela yangu
  2. isima

    JamiiForums Tanzania Abiria walioenda kula sikukuu washindwa kurudi, wakwama stendi kwa siku 3

    Jamani poleni sana muwe mnaenda kwa awamu wote December matokeo ndiyo hayo na ikifika January wote mnataka mrudi mliotoka
  3. isima

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________________________________________________
  4. isima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017

    Kila la kheri rais Uhuru Sent using Jamii Forums mobile app
  5. isima

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa, Mzee Francis Kanyasu(Ngosha) afariki dunia

    Jamani Ngosha pumzika kwa amani.
  6. isima

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

    Tobaaa!!! Walimu yametukuta leo.
  7. isima

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa padre kuoa watolewa ufafanuzi

    Asante kwa ufafanuzi
  8. isima

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    So sad.
  9. isima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Labda kwa enzi zile sio kwa sasa
  10. isima

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha kwanza kufanya mtihani mwingine

    Sasa haina haja ya drs la 7 kufanya mtihani wa NECTA wawe wana wa subiria huko form 1 ili kuokoa hizo kodi zetu.
Back
Top Bottom