usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,724
- 1,188
kesho utamsikia sirro anawatafuta wanamtandao wote wanaofurahia kuuawa kwa askari badala ya kuyasaka haya Majambazi.Nasikia huko kibiti watendaji wa serikali kata ,vijiji na wenyeviti wa vijiji wote wamakimbia, kifupi hakuna serikali huko
Wafeeeee wote tujue hatuna ulinzi! Wameteka clouds, nape kanyooshewa bastola saanane kapotezwa na hao polisi Roma nae katekwa kateswa bado unawahitaji polisi? Wa kazi gani kwa mfano bora nife tu nijue nimeuawa na jambazi au gaidi ila sio kwa upuuzi huu unaoendelea sasa ivi am fed up![/QUOTE