Recent content by isidingo 1961

  1. I

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    CCM wamelamba turufu kwa upumbavu Wa watanzania
  2. I

    JamiiForums Tanzania NEC yavitaka vyama vilivyo shindwa Uchaguzi vikubali matokeo

    Mbona CCM imeshindwa Zanzibar Tume hawaiambii ikubali matokeo? Huyo mkurugenzi aache unafiki
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Bandarini, Pepo la kukwepa kodi lafikia tamati

    Vipi atatoa tena bilioni 3 jamaa wale?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Hapa Kazi tu Rais wetu hata kwa miguu anaweza kwenda kama akivyofanya Wizara ya fedha ana uchungu Na Mali za umma
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Barbarossa Ndugu yangu maandishi haya no hatari kwa makosa ya mitandaoni unataka kueneza chuki? Ngoja tuwashauri wanasheria wake Mh.Lowassa ili ukathibitishe maandiko yako.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Uko wapi mwalimu wetu Mama Kisanji?

    Kwa wale Wanafunzi tuliosoma Na kumaliza kidato cha NNE ktk Shule ya sekondari AZANIA ya Jijini Dar es salaam mwaka 1976 tutakuwa tunamfahamu Mwalimu Mama Kisanji. Tunaomba yeyote anayejua alipo Mwl.Wetu atupe mawasiliano TUMSHUKURU MAMA YETU.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wanasheria tusaidieni "mpokea rushwa polisi wa Tanga kakamatwa je mtoa ile rushwa mbona hajakamatwa?

    Ninawaomba wajuzi wa mambo ya Sheria ya Rushwa watujuzi Sheria ya Rushwa inasemaje kwa mntoa rushwa a mpokea rushwa.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani iwapo mtoa rushwa hatatoa taarifa za kuombwa rushwa kwenye chombo husika basi akitoa rushwa atakuwa katenda kosa. Mkoani Tanga kuna Polisi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

    Umesema usitoe wala kupokea rushwa mbona yule polisi Wa tanga aliyepokea rushwa kakamatwa lakini aliyetoa licha ya kufahamika hajakamatwa au Sheria in kwa mpokea tu?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CHADEMA mnalaumu sana Polisi?

    Ulitaka wawalaumu mgambo?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

    Sio kweli watanzania kwanini mnapenda sasa tetesi? Msiwe Na haraka ila atahamia chato kwanza
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, wapiga deal CCM wameondoka wote?

    Acha wewe hata huyo namba moja in balaa acheni uongo unajifanya hujui mbona wababe Wa lumbesa husemi
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wanaotangaza CCM wameiba kura wathibitishe

    Kwani kusema umeibiwa ni kosa? Kama CCM hajahusika wana wasiwasi Wa nini?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wanaotangaza CCM wameiba kura wathibitishe

    Wacha upumbavu nenda kwenye vituo kisha nenda tume utapata ushahidi
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete afurahishwa na hatua za rais Magufuli so far!

    Acha uongo hakuna cha mtandao wala nini
  15. I

    JamiiForums Tanzania Sumaye aibuka tena

    Acha uongo mkuu we we unaishi nao? Unaijua katiba we we? Kasome katiba ujue kama wana maisha magumu au la lakini Baba yako ana maisha gani kule kijijini?
Back
Top Bottom