Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.

Lowassa hawezi kuiunga mkono CCM wewe, walichomfanya na mihela yake hawezi kusahau, kinachofanywa na CCM ni kuwasafisha mamluki wote wasije kuisumbua serikali kama walivyomfanyia JK. Tulieni sindano inaingia Taratiibu pale Spika wa Bunge na Naibu Spika wa bunge wote wanapopendekezwa na Rais, na kuidhinishwa na wabunge wa CCM....Ukawa wanaconcentrate na Umeya na uwenyekiti wa Halmashauri walizofanikiwa kuchukua. Tutulie wanasafishwa wote.
 
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.

Hivi hizi tabia za uogo kwa mwanaume mzima unaashiria nini kama sio ushika UK......uta!?
 
Hon.Ndugai alipoanza Kuwa naibu speaker alikuwa na mapungufu mengi.alikuwa akifanyakazi Kwa mihemko,jazba na hasira nyingi hasa pale anapoona leaders wanaguswa kwenye hoja.kumbuka alivyomtoa nje Mh.Mnyika,Sugu,nk lakini baadae alijirekebisha sana haswa pale alipojifunza according 2 himself from bunge la India.kuruhusu mjadala huru.He became Deputy Speaker material.Suala la kumuadabisha Mgombea mwenzake Kwa kumrecord ama kumchukuwa picha Kwa Simu ya mkononi bila ridhaa yake sio issue. Sheria ya cyber ilipaswa kuchukuwa nafasi yake.nadhani vyombo vya dola vilimhoji na wakaona kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria Kwa victim.sio wote wanaopigwa wameonewa.kuna wanaopigwa Kwa kumuonea mpigaji.Niambie wewe mwenzangu uko busy unafanya jambo lako serious ukiwa Na mawazo mengi ghafla unageuka kulia Kwako unaona someone Ana-kurecord.Eye for an eye,and he is your opponent.kama mwanadamu aliyekamilika hasira zinapanda unakuwa insane wa Muda.mind Kuwa mkononi mwako umeshika fimbo.Under his circumstances unadhani Ndugai angefanyaje? Je wewe angekuwa hasim wako Zawadi yake ingekuwa ninini? Si ni afadhali Ndugai hajaua? Either angeua fasiri ingekuwa amepaa kichaa cha Muda.maana Kuwa na Muda wa kutafakari ngoja nitafue fimbo ni mchape bali alimuadhibu pale pale "on fhe spot" under emotion.nadhani angekwa Na kalamu au Simu mkononi pia angempiga nayo.Muacheni Ndugai apewe nafasi aonyeshe Mfano wa Democratic Country & Democratic Parliament.Hongera Kwa uspika Hon.JOB Y.NDUGAI

Kikurajembe

NDUGAI JEMBE LAZIMA ASHINDE NA AWE SPIKA WA bunge.
 
Unasema pccb wako wapi hawawezi kuja huko kuna waheshimiwa sana,m yaani jk,jpm, na wengine wengi, pia usisahau kuwa Tanzania Pccb ndiyo wanapokea Hiyo unayoiita RSW, sipendi kuitamka naona kichefuchefu.
 
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.
Mbona Tayari sasa utafanyaje?
 
Hivi Lowasa hela zake haziishi tu tangu kura za maoni za ccm mpaka uspika!!!!!!.
 
Inaelekea lowasa aliwafikisha "kileleni"!
 
Hebu acheni fitina basi? Mbona UKAWA wana Ole Medeye? Sasa iweje tena wampigie debe Ndungai?
 
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.

TAKUKURU pamoja na USALAMA WA TAIFA, SHERIA YA MITANDAO inabidi waanze na wewe. KWai inaonyesha unaelewa mengi kuhusiana na utoaji wa hiyo Rushwa, hivyo unaweza kuisaidia Polisi ili watuhumiwa wakamatwe na kufikishwa katika vyombo husika.

TAKUKURU, USALAMA WA TAIFA, NA SHERIA YA MITANDO inabidi mfanye kazi sehemu ya kuanzia ni hii.

Tunahitaji Source ya kueleweka kwa hili tukio ni kubwa sana katika Awamu hii ya Tano.

RUSHWA NI ADUI WA HAKI, USITOE RUSHWA WALA KUPOKEA RUSHWA.
 
Umesema usitoe wala kupokea rushwa mbona yule polisi Wa tanga aliyepokea rushwa kakamatwa lakini aliyetoa licha ya kufahamika hajakamatwa au Sheria in kwa mpokea tu?
 
Lowassa na ndugai wapi na wapi jmn... ebu muacheni mzee atulie... kila kitu Lowassa... kah!!!!
 
Kuwa chadema au mpinzani sio lazima uwe MZUSHI TU WA KILA JAMBO. Nadhani ipo siku hata kwenye uchaguzi wa PAPA utazusha tu kuwa kuna Rushwa zinatembea.

Chadema bwana! !!!!!!!!!!!
 
Isome mada vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom