Hivi ni kwanini CHADEMA mnalaumu sana Polisi?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Imefikia hata kuwashambulia polisi mmejenga tabia ya mara kwa mara kugombana na polisi kuwatuhumu mnajenga tabia gani au ndio maelekezo ya wafadhili wenu au ndani ya chama kuna watu wana makosa yao ambayo wamawaunganisha na wadau kuwachukia polisi.

Kumbukeni hilo ni jeshi la usalama wa watanzania wote
 
Imefikia hata kuwashambulia polisi mmejenga tabia ya mara kwa mara kugombana na polisi kuwatuhumu mnajenga tabia gani au ndio maelekezo ya wafadhili wenu au ndani ya chama kuna watu wana makosa yao ambayo wamawaunganiza na wadau kuwachukia polisi.

Kumbukeni hilo ni jeshi la usalama wa watanzania wote

Wakati mwandishi wa habari Mwangosi anafyatuliwa na bomu la maangamizi pale Nyororo, ulikuwa umeshazaliwa au ni story unayosimuliwa na wakubwa zako?
 
Nyie subiri tumpe Lema au Lissu uenyekiti Wa chama maana busara zimemzidi Mbowe
 
Imefikia hata kuwashambulia polisi mmejenga tabia ya mara kwa mara kugombana na polisi kuwatuhumu mnajenga tabia gani au ndio maelekezo ya wafadhili wenu au ndani ya chama kuna watu wana makosa yao ambayo wamawaunganiza na wadau kuwachukia polisi.

Kumbukeni hilo ni jeshi la usalama wa watanzania wote

Talling centre za CCM hawajazivamia lakini za CDM wamezivamia na kunyang'anya iompyuta unategemea nini...??
Viongozi ww upinzani wanakamatwa kila leo na baada ya muda kesi zinafutwa unategemea nini..??
Mikutano ya CDM na vyama vingine vya upinzani inaongoza kwa kupigwa marufuku unategemea nini..??

Wafuasi wa CDM wakiuwawa polisi inaleta longolongo unategemea nini..??

Wapenzi ww CDM walioko makazini wanawumbuliwa na serikali kisa ni wapenzi wa CDM (mfano-mwalimu wa Charotte sekondari kule Morogoro) unategemea nini..??
 
Teh teh........ polisi wao hawalalamiki wanawatwanga tu hadi ubongo ukae mahali pake.
 
Imefikia hata kuwashambulia polisi mmejenga tabia ya mara kwa mara kugombana na polisi kuwatuhumu mnajenga tabia gani au ndio maelekezo ya wafadhili wenu au ndani ya chama kuna watu wana makosa yao ambayo wamawaunganisha na wadau kuwachukia polisi.

Kumbukeni hilo ni jeshi la usalama wa watanzania wote

Hakika mambo yanayofanywa na chadema, hayafai ndani ya nchi hii, wanataka kujionyesha kwamba wao wako juu ya sheria, si jambo jema kwa watz, kwanza wanawajenga vibaya watz, na hii ndo inapelekea watz walowengi kuogopa kuwapa nafasi kubwa ya uongozi wa nchi hii, ni lazima wajenge ustarabu wa kuonyesha uongozi na si vurugu kila siku, yani wanaona furaha kubwa sana polisi kutumia mabomu kila wakati, haki haitafutwi hivyo, labba wajifunze upya kuwa haki inapatikana vipi, na kwa bahati mbaya sana, hata wanasheria wao sioni mchango wao kwa kuwasaidia kuwapa elimu kuhusu haki zao zinapatikana wapi.
 
Imefikia hata kuwashambulia polisi mmejenga tabia ya mara kwa mara kugombana na polisi kuwatuhumu mnajenga tabia gani au ndio maelekezo ya wafadhili wenu au ndani ya chama kuna watu wana makosa yao ambayo wamawaunganisha na wadau kuwachukia polisi.

Kumbukeni hilo ni jeshi la usalama wa watanzania wote
Ni mjinga pekee anayeshabikia uonevu wa police. Ukiona mtu kag'ag'ania kweny gari bovu jua kuna mzigo wake. Unafaidika nini na uonevu huu!
 
Mimi binafsi nawalaumu Polisi na ukipata tatizo linalohusu Polisi ndio utaelewa. La msingi wanatakiwa kujiangalia utendaji wao na kama wanafuata taratibu walizojiwekea na si kufuata maslahi binafsi
 
Na ni upumbavu kulaumu jeshi la polisi wakati wote, kwani mara nyingi ni uelewa mdogo wa kutofahamu kazi za polisi, mbona cc ambao hatujiusishi na siasa na vurugu ambazo hazina msingi tuko salama? wakati mwingine ni mazoea na ukishazoea kupigwa mabomu, ukikaa kwa utulivu mwili na akili huwa vinahitaji vipate mabomu ndo mnatulia, hii ni sawa na kumzoeza kumchapa mtoto kila siku na akishazoea, muda wote anapenda kuchapwa-huu mfano ni sawa na wapenda kuchokoza polisi ili wapigwe mabomu, hivi hamna kazi za ziada za kufanya?
 
Busara hiyo bado inaendelea kutumika, tatizo ni ukichaa kurudi kwa watawaliwa!
 
uliyeandika thread hii unaupungufu wa akili subiri siku yakukute ndo utajua maana ya thread yako
 
Na ni upumbavu kulaumu jeshi la polisi wakati wote, kwani mara nyingi ni uelewa mdogo wa kutofahamu kazi za polisi, mbona cc ambao hatujiusishi na siasa na vurugu ambazo hazina msingi tuko salama? wakati mwingine ni mazoea na ukishazoea kupigwa mabomu, ukikaa kwa utulivu mwili na akili huwa vinahitaji vipate mabomu ndo mnatulia, hii ni sawa na kumzoeza kumchapa mtoto kila siku na akishazoea, muda wote anapenda kuchapwa-huu mfano ni sawa na wapenda kuchokoza polisi ili wapigwe mabomu, hivi hamna kazi za ziada za kufanya?

Sina sababu ya kujadili na Mpuuzi unayejitoa ufahamu kama wewe.Ni mauaji mangapi yametokea huku polisi wakileta usengerema tu? badala ya kuchukua hatua wanawaogopa na kuwalinda wahalifu? rejea kukatwa mapanga kwa Wenje na Kiwia pia kesi za kijinga wanazobambikwa wapinzani kila uchaguzi ufanyikapo.
 
Kuna askari mmoja aliongea kua hata wenyewe wanawapenda sana wapinzani ila ndo hivoo tena wanaagizwa tusiwalaumu sana jamani.
 
ujue chadema kinaongozwa na watu ambao hawajitambui wala hawajui wanafanya nini kwanye uso wa hii dunia.
 
Kuna askari mmoja aliongea kua hata wenyewe wanawapenda sana wapinzani ila ndo hivoo tena wanaagizwa tusiwalaumu sana jamani.

mimi ni askari lakini siwapendi chadema kwa siasa zao za kishamba na vurugu tutawapiga tu.
 
alafu ukiangalia chadema mikutano yao mingi nikuwatukana police muda wate sijui hawa jaama wakoje wale walojifanya wanaweza sana wakampiga asikari pale bugando mpaka sasa wanajuta kufuata mkumbo
 
Back
Top Bottom