minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,508
- 22,511
Vijana ambao walikuwa wakifanya kazi ya majumuisho ya kura kwa upande wa ukawa wapo jela wote huku wale wa ccm wao hawakukamatwa walifanya kazi kwa Uhuru pasipo kukamatwa, sasa wapo wanaandaa kila kitu kwa umakini mkubwa sana utapewa matokeo harisi mda si mrefu.