kila mtu ananunua sim kwa matumizi flan,,,huku kwetu matumizi ya sim kuchat na kutuma picha wakati wenzetu karibu application zoote wanatumia,,,sasa hapo tunaangali speed ya sim,,,kuna sim kwenye internet page ya google au u tube inachukua nusu saa kufunguka,,,na mengine mengi,,,