dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #21
Mkuu achilia mbali 5000 wewe sema unatokea wapi nikufuate bila kutumia gharama yoyote nikuonyesheMimi nataka kuiona ila sintokupa 5000 ya kunipeleka maana Ni wizi
Mkuu achilia mbali 5000 wewe sema unatokea wapi nikufuate bila kutumia gharama yoyote nikuonyesheMimi nataka kuiona ila sintokupa 5000 ya kunipeleka maana Ni wizi
Mkuu nyumba tunapangisha na tunahitaji mteja na ndio maaana nimeleta tangazo, asa kwann kuwe na masharti ya kuionaDu mkuu jeuri wewe
ukikaa kimya utaepusha aibu,,,kwa maneno yako tu ushaonesha wewe mtu wa aina gani,,,jitahid sana kupuuzia vitu visivyo na msinga au maana kuvijibuSamahani sana mkuu!
Ila kuna watu wanauzi sana
Sawa mkuu acha nijifunze upole na asnte kwa ushauriukikaa kimya utaepusha aibu,,,kwa maneno yako tu ushaonesha wewe mtu wa aina gani,,,jitahid sana kupuuzia vitu visivyo na msinga au maana kuvijibu
...huna hela wewe,Huna adabu...hiyo nyumba jipangishe mwenyewe pambaff!
Wewe ni mbwa mjinga na punguani,Wala hata mimi hunijui kwahyo sio vema kusema nimeweka tangazo la utapeli, utatepiliwa nn sasa kama sio uchizi nn!
...duh.,hii akili umemuazima nani leo;Unatangaza halafu una maneno machafu hivi.. duh!!
Unaogopesha wateja wa leo, kesho na keshokutwa au hujui!?
Pia unaonyesha kama vile kuna mapungufu hujayaandika pia juu ya tangazo lako.