Shukrani. Tafadhali nipatie mawasiliano yako. Punguzo kwa bei hiyo ni ngapi? Yaani, bei ya mwisho ni ipi?Mimi napatikana mtaa wa aggrey kariakoo, nyuma ya mobile plaza au China plaza.
Nina duka la vifaa hivyo na vifaa vya hotelini na bakery.
Karibu
Zinapatikana kwa aliyeleta uziMkuu, kwasasa sina pesa lakini nilikuwa naisaka sana hiyo kitu. Zinapatikana wapi? Nisaidie Mkuu ili nijichange
Soma post no #23Unapatikana wapi mkuu.
Nimeisoma mkuu, ni kiherehere baada ya kuona mashine na bei inayofanana nayo, hata sikutaka kuendelea.. Poa poa!Soma post no #23
Siyo kusaga mkuu Ni kukamua!!Habari,
Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga mpaka kilo 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
1,100,000/ only
Call/whatsapp 0713662655 Dar
View attachment 601027