Recent content by Isekuu

  1. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 jamani eti kweli mbowe kamfunika slaa na yy atagombea urais cdm 2015?

    Naona nape kaanza kazi yake. Hapa hakijifichi kitu tutaelewa tu. Pipoooz!
  2. I

    JamiiForums Tanzania kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

    usijifanye mtumwa kwa ajili ya penzi, mke kukupa penzi ni haki yako na yeye ni haki yake kupata toka kwako, na wewe pia ni chombo chake. Usimwone kama yeye ni chombo tu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tanga watatangatanga sana

    Nipo tanga lakini unayosema hayaendani ukweli halisi, tanga kiuchumi inashuka imebaki umaarufu tu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mvutano waibuka Singida madiwani wa CHADEMA watolewa meza kuu

    We zoba nini, cdm wanauliza vtu vya maana sio kama ccm wanaulizia posho tu. Sehem yeyote wakiwepo cdm ccm wanakosa ganji ndo mana wanakuwa wakali.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mvutano waibuka Singida madiwani wa CHADEMA watolewa meza kuu

    nafikiri wanyaturu sasa tunaamka na bado mambo yataenda vzuri 2 tumechoka mfumo huu wa kiutawala. Singida cdm itachanua tu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania TBC ifutwe, ni ufisadi mtupu

    Hata habari za upinzani hawaandiki, wamepangua utaratibu wote wa alio uacha bwana Tido kisa hakuipa shavu ccm wakati wa uchaguzi. Mambo yote yataenda safi ikiwa wananchi tutakua na nguvu ya pamoja. Na muda huo hauko mbali.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Nimekusoma kaka, membe yuko aliko kua jk huo msala ni wa jk. uk kesi ilikua kama binti, wametongoza mpaka wakaoa leo membe mtto wake? Kama mi namwambia alikua wapi wakati binti kigoli?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    . Binafsi mi namkumbuka mtikila ka harakati zake, wengi walimuona kama mropoka ovyo, lkn sasa vp.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Pamoja kua kimya kwa muda mrefu lakini angalau mtikila yuko right
  10. I

    JamiiForums Tanzania some jokes i knew

    Thank you.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopanga Uswazi fumanizi hili linaweza kukufundisha kitu!!

    jamaa anatufundisha sisi tulio owa tuwe na subira kama ukiamua kutoa hukum utajuta. Tuwe maamuzi ya busara kwa faida ya wote.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Serikali haiuoni uchochezi huu wa kidini?

    Nimekupata mkuu mi binafsi hili jambo lanikera sana tena sana kutokana na mpango wa ccm kuiua cdm kwa style ya propaganda, napenda kuwashauri vijana wenzangu wa kiislam na wa kikristo wawapuuze hao waeneza uzushi ni sumu mbaya sana itaturudisha nyuma, na hizi ni dalili mbaya kwa uhai wetu cdm ni...
  13. I

    JamiiForums Tanzania CCM: Jembe na Nyundo ni alama sahihi kwa nyakati?

    ni kweli hiki chama kimekuwa na mweleko wa kutisha, hiki chama hapo mwanzo kililingana na cha kanu kenya na kwa sasa naona pia hakina tofauti na kanu kenya. Nakumbuka hapo nyuma ccm walikua wakienda zimbabwe kwa kampeni za mugabe baada ya zanu pf kuporomoka sasa wako kimyaa!! Nadhani sasa zamu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu NDODI wa starTV huwa mnamwelewa??

    Hata kampuni yao ipoipo tu dialo mwenyewe hata kiswahili tabu.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Imetokea loliondo

    Ni kweli! Uko fasta!
Back
Top Bottom