Serikali haiuoni uchochezi huu wa kidini?

Ukiona serikali ipo kimya jua kuna ukweli ktk madai yao. Pia uzuri wa waislam wanatoa vielelezo vya ushahidi. Mfano mpango wa memorundum of unde$tand[MOU] makanisa yanachotewa pesa kimyakimya bila ya hata kupata ridhaa ya wa TZ wote. Suluhu ya hili ni serikali irekebishe na kuacha upendeleo.
 
Nikweli jeshi lipo hii hatuongopi,kama hujui kaakimya kwani wanaojua watakushangaa.Ushahidi nenda karejee Ripoti iliyosomwa kwa Papa John Paul 2 alipotembelea Tanzania ambapo hilo ilikuwa moja ya mafanikio ya kanisa nchini.Pili,jibu maswali yangu hapo juu na sio kupoteza muda.Ukweli ni kuwa hata mpinge hoja za waislam ni za haki ila mnaposema inajulikana tu kuwa nikauli za kujitetea na kujisafisha.

1. Umesema jeshi lipo - lipo wapi na linaongozwa na nani? Lete vielelezo kuwa lina askari wangapi na wanakaa kijiji/kata/wilaya/mkoa gani hapa Tanzania. Kama lipo siyo la kufikirika ni tangible na kama una ushahidi sema liko wapi na makamanda wake ni akina nani. Recruitment inafanyika wapi, kambi zao ziko wapi na training wanafanyia wapi.
2. Otherwise, unakuwa tu kama kasuku kurudiarudia maneno uliyokwishalishwa na kuyabugia bila kuyafanyia utafiti. Nasubiri uthibitishe hilo!
 
Ukiona serikali ipo kimya jua kuna ukweli ktk madai yao. Pia uzuri wa waislam wanatoa vielelezo vya ushahidi. Mfano mpango wa memorundum of unde$tand[MOU] makanisa yanachotewa pesa kimyakimya bila ya hata kupata ridhaa ya wa TZ wote. Suluhu ya hili ni serikali irekebishe na kuacha upendeleo.

Vielelezo gani wanavyotoa? Serikali ina'subsidise' huduma za jamii zinazotolewa na makanisa hayo ili ziwahudumie watu wote. Niambie ni hospitali gani ya Kanisa (kama KCMC, Bugando, Peramiho, Mbagala Mission etc) ambayo inawabagua Waislamu. Maana kama serikali imetoa hela ni kwa sababu ya huduma kama hizo.
 
Mbona Mkapa aliyeuza nchi hamumtukani? Nyerere alipofanya mle unga wa yanga mbona hatukanwi? Mbona matusi kwa Mwinyi na Kikwete? Makongamano yataendelea ili kuwaeleza waislam fitna zinazofanywa dhidi yao. Kumbuka kampeni za mwakajana ambavyo zilishamili makanisani,haya hatubahatishi kwani tunaishi kwenye jamii mchanganyiko na pia baadhi ya watu wetu wakaribu ni waumini wa makanisa.Binafsi niko kwenye institution ya kikristo na hapa kwakuwa asilimia 99.9 ni wakristo mengi hujadiliwa na mimi nakuhakikishia chuki yenu juu ya waislam ni kubwa kuliko,mfano wanasema rais ajaye akiwa muislam lazima damu imwagike,hatutaki kuongozwa na muislam namengine mengi tu.Mfano wa pili ni hapahapa JF utaona thread yenye jina la waislam comment nyingi ni za kutukana waislam na hapo utagundua ni jinsi gani wakristo walivyo na chuki kwa waislam.SWALI:Kwanini Dr.Slaa wakati wa kampeni Arusha alilala parokiani? Alienda kuchukua mawaidha gani? Nakusisitiza tena kama huna waraka kwa makanisa yote wakati wa uchaguzi utafute usome na ndio ulete hoja yako.Waislam hawahongwi na yoyote umdhaniaye ila sasa BASI! TUMECHOKA.

1. Pole sana! Ni kweli mmechoka maana kama hamjachoka (mungekuwa mnatumia akili vizuri) haiwezekani kutetea mambo ya ajabu kama mnavyofanya. Haya yote yanaonesha mumechoka kweli hata kutumia akili mumechoka.
2. Mkapa alikuwa kikosolewa hata Nyerere pale walipovurunda. Mema wanayoyafanya yanasemwa na mabaya yao yanalaaniwa. Hata kwa Jakaya Kikwete hivyo. Ana mema mengi anayoyafanya lakini pia ana udhaifu fulani. Huu ndio unaosemwa ili aurekebishe na azidi kusonga mbele zaidi. Kwa mtazamo wenu kumkosoa mtu si sawa na kumchukia. Mimi na wengine hapa jamvini tunaamini kumkosoa mtu ni kumpenda maana tunataka kumsaidia arekebishe baadhi ya mambo ili maisha ya Watanzania walio wengi yazidi kusonga mbele.
3. Hoja nyingine ulizozitoa nashindwa kuzielezea maana sina uhakika kama mlienda naye akalala parokiani wakati wa kampeni au ni 'creation' yako. Pili kama ni kweli ni parokiani na tuchukue kuwa hapo parokiani ingekuwa ni jumuiya ya Kiislamu na akawa amelala hapo, je napo kungekuwa na swali la kwa nini au swali hili linakuja kwa vile parokia inaongozwa na Wakristo. Tuchukue pia angeweza kulala guesthouse kama ipo. Je, kama hiyo guesthouse inamilkiwa na Wakristo na ikatokea akala hapo kungezuka swali pia?
 
Hata kiongozi wa nchi Mh Kikwete alinzisha hoja ya udini wakati wa hotuba ya uzinduzi wa Bunge mwezi dec 2010. Alikitahadharisha taifa kwamba uchaguzi wa 2010 ulikuwa na udini na udini unaweza kuvunja amani ya nchi yetu.

Hayo ni maneno ya kiongozi wa nchi ndani ya mjengo. sasa nyie WADanganyika mnabisha nini? Acheni unafiki UDINI UTAWAMALIZA na hamuwezi kuuzima kamwe kwani lazima muutafutie ufumbuzi wake.

Chadema acheni UDINI
 
Tatizo sio waislamu ila tatizo ni ukristo unaofundisha kuwa wavumilivu,kufundisha amani na upendo kwa vitendo, akupigaeshavu lakulia mgeuzie na la pili-sio jiuno kwa jino......................la sivyo vita inayopaliliwa na viongozi wa ccm hasa kikwete na ccm vya kidini vingelishatokea zamani tangukikwete na ccm walipoamua kuifanya ccm chama kinachoweza kushughulikia mambo binafsi ya dini fulani km mahakama ya kadhi...............................oci
Nimekupata mkuu mi binafsi hili jambo lanikera sana tena sana kutokana na mpango wa ccm kuiua cdm kwa style ya propaganda, napenda kuwashauri vijana wenzangu wa kiislam na wa kikristo wawapuuze hao waeneza uzushi ni sumu mbaya sana itaturudisha nyuma, na hizi ni dalili mbaya kwa uhai wetu cdm ni mkomboz wetu, tushikamane kwa lengo moja tu nalo ni kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Hatuna namna nyingine zaidi ya chama chetu cdm. Kwa kijana yeyote anaejua ugumu na tabu ya maisha tuliyonayo hakika cdm ndo mkombozi wetu.
 
I think, the followers of Muhammad are either inferior to Christians or the whole cult of islam is.
 
Back
Top Bottom