Habari wakuu,
Nimejichanga nimenunua bajaj mpya, sasa nataka nii pimpu iwe na muonekano mzuri, mfano kufunga mziki, kuweka ngao, kuinyenyua kidogo, kuweka side-mirror kubwa kidogo, kufunga taa za urembo, kuweka TV ndogo, kufunga honi ya gari. Pia nataka niibadilishe lile cover la juu liwe jeusi...