Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
- Thread starter
- #121
Bila shaka yupo kazini.Shukran sana Boss . Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu sana nilimpatia hili tangazo tukaenda nikamdhamini alipata hii kazi
Bila shaka yupo kazini.Shukran sana Boss . Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu sana nilimpatia hili tangazo tukaenda nikamdhamini alipata hii kazi
ExactlyBila shaka yupo kazini.
Yeah, mimi mwenyewe nipo na degree yangu nilianza kama mlinzi 2021 kwa mshahara wa laki 5 kwenye kampuni hii hii ila nilipelekwa zenji. Ila kwa bahati nzuri hii kampuni ina vitengo vingi sana ambavyo vinahitaji wasomi, mfano ma HR. watu wa ACCOUNT na kadhalika, huwa inatoa internal vacancy walinzi wenye degree wanaomba na wanapata nikiwemo mimi, nachezea smbona Mimi nipo huku huku alafu unachokisema sikielewi
Hii ni ya mCanqda sidhani kama wana mishahara ya hivo80k mpaka 150k,,, ndo mishahara ya walinzi wa kampuni ! Tuna safari ndefu sana, huyu mtu ukute anatumia nauli kwenda kazini, ni mjini kapanga na ana familia ! Utaacha kugongewa mkeo kweli ?
Mambo upo shinyangaHII INAWAHUSU WATU WA DAR TU WA MIKOANI HAIWAHUSU, MAANA HUWEZI KUTOKA SHINYANGA UENDE DAR AMBAPO HUNA NDUGU
jaribu arusha kuna course na sikia vijana wanasema inakuja kwaajili ya bomba la mafutaVipi jamani nafasi bado zipo
Mshahara wa g@rd@ World ukikatwa kila kitu unafunga mpaka 360 miezi ya kawaida - na 390 -400 miezi yenye sikukuu na hapo off duty zote umeenda.Hii ni ya mCanqda sidhani kama wana mishahara ya hivo
😂😂😂😂 najarbu ukifikiria kitambo kilivyo jaa fastaMshahara wa g@rd@ World ukikatwa kila kitu unafunga mpaka 360 miezi ya kawaida - na 390 -400 miezi yenye sikukuu na hapo off duty zote umeenda.
Wakati nime drop kimaisha niliingia garda kujishikiza nikawa na kula hiyo pesa .
Ila nilichekecha akili nikataka kuvuta toyo niwe napiga huku na huku nikaona hapana..
katika pitapita za malindo niliotea mzungu alikua anatafuta mlinzi wa usiku nikasema acha nijilipue..
Nikampanga akavuta alarm system na remote likitokea lolote tusaidike. nikawa na piga huku na huko ila tulikua wawili mimi kampuni mwezangu raia mwema asiefungwa na mikataba ili ikitokea garda wameni yumbisha shift mzungu asikose mlinzi. mzungu kiroho safi akawa anatupiga 480k kila mtu msosi na chakula anatupatia kikubwa ukiwa lindo ucheze cheze na garden na kumuoshea gari pia maana kulikua hakuna mfanya usafi.
Sasa ukichukua hela ya garda ukajumlisha ya mzungu nilikuwa na kula 850 -900 kwa mwezi mpaka nikasahau kuomba tena kazi.
Arusha ofisi zao zipo wapijaribu arusha kuna course na sikia vijana wanasema inakuja kwaajili ya bomba la mafuta
Sema uelekeo wako ulipo nikuelekeze kirahisi mkuuAr
Arusha ofisi zao zipo wapi
Kutoka KK security hadi GardaWorldKampuni ya ulinzi ya GARDWORLD inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kazi.
Kwa maelezo zaidi angalia attachment hapo chini.View attachment 3270295