Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Habari wakuu,
Nimejichanga nimenunua bajaj mpya, sasa nataka nii pimpu iwe na muonekano mzuri, mfano kufunga mziki, kuweka ngao, kuinyenyua kidogo, kuweka side-mirror kubwa kidogo, kufunga taa za urembo, kuweka TV ndogo, kufunga honi ya gari. Pia nataka niibadilishe lile cover la juu liwe jeusi maana ina cover la njano ambalo sijalielewa sana.
Sasa wapi naweza kuwapata wataalam wa hizi mambo.? Nipo Dar es salaam.