Recent content by iryn

  1. iryn

    Bata bukini

    Nauza bata bukini. Wapo wakubwa wanaotaga tayari. Ni kitoweo kizuri mno. Napatikana kigamboni Dsm, bei nzuri tu jamani 150000 mazungumzo yapo msiogope. Karibuni ndugu zangu tusapotiane
  2. iryn

    Tendo la kupiga got unapo propose naona halina uhalisia since mwenye uhitaj ni mwanamke

    Hizi thinking zenu zina walakini... Aliyekuambia kwamba kwa kuwa mwanaume ni kichwa na provider hamhitaji mke ni nani. Asingemuhitaji asingemfuata na kumchumbia akaomba kumfanya mkewe. Si mwanamke anayeomba kuolewa. By the way katika familia mwanamke anaweza akaishi mwenyewe na asitetereke kama...
  3. iryn

    Hii ngumu kumeza

    Huu ndyo ushauri pekee ambao utauelewa kwa kuwa ndyo maamuzi uliyokwisha yafanya. Naamini ushauri mwingine wowote hutauona kama unafaa. Ila tu ujue watu hawafanyi maamuzi katika hasira na hatuoani ili tuachane kwa kuwa hatuko wakamilifu
  4. iryn

    Mtalamu wa maswala ya uzazi Tafadhali nisaidie hili

    Nina ujauzito ambao kulingana na wataalamu niko wiki ya 33. Leo nimeshituka kidogo, nikiwa natembea kama moja ya mazoezi ghafla tumbo lilibana kwa chini ya kitovu na nikahisi maumivu kweli. Baada ya muda nikahisi maumivu yakiongezeka hadi kwenye nyonga . nimejikaza na kuingia ndani kujilaza...
  5. iryn

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Hapana ni mtazamo wako siwezi kuita insult
  6. iryn

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Jamani Ni kweli ni a kili za wanawake. Lakini habari pia ya kumwambia mtu.. Tulia utapata mwingine.. Sio wote tunatamani kuhesabiwa majumba mengi .. Leo umetoka kwa huyu kesho uko hapa.. Mtoto mmoja ana ubini wa Peter mwingine wa Juma
  7. iryn

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Labda kwa hilo la familia zingine maana hapo kila mama anahitaji haki ya kuwa mke.. Wa kwangu nashukuru sikuwahi hadi leo kusikia tetesi ya kwamba alikuwa na familia nyingine.
  8. iryn

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Wakati mwingine masuala ya mahusiano hayahitaji ushauri.. Inafika wakati MTU anaamua kulingana na jinsi moyo moyo wake unavyomuelekeza. Wapo wanaofanikiwa na wapo wanaoharibikiwa kabisa.. Speaking from my personal experience, Nina kesi kama yako.. Nilizaa na mwanaume ambaye wakati wa ujauzito...
  9. iryn

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. iryn

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Tuliosoma tamthiliya ya KIVULI KINAISHI tunaelewa mwisho wa BI Kilembwe ulivyokuwa.. Huwezi kuwalazimisha watu kusema NYEUPE ilhali inaonekana Ni nyeusi..
  11. iryn

    Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

    He he he.. Umemuelewa vema.. Nimependa comment yako
  12. iryn

    Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

    Hivi wewe una ndugu nyumbani kwenu na una moyo kweli
  13. iryn

    Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

    Sasa wewe hukuwa na future na mtoto wa watu kilichokufanya ukatembea naye pekupeku ni nini? Natumaini kwa umri ulonao hauhitaji kupewa elimu ya mahusiano... Ulifahamu matokeo take. Na isitoshe ulimtongoza binti wa watu kwa lugha nzuri ukamshawishi naye akakuamini na kukuona unastahili kuwa...
  14. iryn

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate. Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za...
  15. iryn

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate. Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za...
Back
Top Bottom