STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,262
Nyinyi ndio watu mnaoiharibu JF,Angalia maneno yako "ndio fasheni siku hizi kumpa demu mimba na kumuacha kwao, we mteme tu nk." hapa inaonyesha haujali kabisa nafsi ya yule mwanamke, ww unadhani huyo mwanamke akitendewa hivyo atajisikiaje, huu ni ubinafsi maana umefikiria kama mwanaume na bila kujali upande wa pili.
mtu anaomba hela unaishia kumpa ushauri badala ya kumpa hela,
Na hii tabia imezoeleka sana.
Yeye ameuliza ametelekeze mke na mtoto au ampende mtoto???
Sasa wewe unamshauri ''bora uishi na wote''
kalaghabaho...
Umepewa two choices wewe unaongeza yako ya tatu?? Wtf?
Kwahiyo kati ya kuhudumia mtoto na kumtelekeza mama na mtoto kipi bora?
Hebu jibu niupime ufahamu wako