Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

Hakufai ww Ni wa thaman huyo hajielewi anawezaje kukuambia kwenu wasijue km mko wote ina mana hata km ukifa anaweza kukuchimbia shimo akuzike bora ukubal kuwa singo unaweza mpata akupendae kuliko kungangana ukaishia kulia huyo tamaa ya mwl, kupikiwa ndiko anakokuhitajia
 
kweli nimeamini roho y huruma mnayo kina mama jamani,na kwa nini hataki kuskia mipango ya ndoa?, then vipi amekusisitiza kuhusu mtoto, kuwa makini naye kila step unayopiga lazima umshirikiShe mzazi wako
Hapa si roho ya huruma tu wanawake tunapenda ndoa sana ila changamoto kwenye msimu wa ndoa tamu hatuzifikirii
 
Kumbe haya maisha ni magumu kwa weng tu, nlidhani ni kwangu tu.

Achana na lile linalokupa mashaka(wacwac) na liendee lile usilo na wacwac nalo, uchumi kua mzur hiki ni kivuli hata mi nataman nkifkie na bahat mbaya haijulikan lin mtu atafkia kwenye hiki kivul
 
Hata kukushauri inakuwa vigumu kwani weye umekuwa tu ka kuku wa kienyeji. Anaona kabisa mwenzake kashikwa kwa kula mahindi yale yale ila bado hakimbiii naye anaendelea kula hata akibaki mwenyewe.
Kilichokufanya ndoa ikayeyuka kimeshaondolewa?? Kwa nini hataki wazazi wako wajue uendako?? Je, huko kuishi pamoja matokeo baada ya miezi 9 ni nini?? Naona hukutosheka na mtoto 1 unatamani wawe 2 au 4 ili kipato cha matunzo ya watoto kiongezeke. Wewe jipigie mahesabu kuwa kama huchukua laki ka matunzo ya mtoto 1 tu wakiwa 4 zitakuwa laki 4. Hesabu hiyo inakudanganya, mwisho utalia machozi tu.
 
Jamani Ni kweli ni a kili za wanawake. Lakini habari pia ya kumwambia mtu.. Tulia utapata mwingine.. Sio wote tunatamani kuhesabiwa majumba mengi .. Leo umetoka kwa huyu kesho uko hapa.. Mtoto mmoja ana ubini wa Peter mwingine wa Juma
ni kweli dada yangu.. maneno yangu i hope hayajaku insult
 
Nashidwa kudefine akili ya mwanamke. Samahani kama ntamkwaza mtu
 
Chamsingi jua ndoa hamna ila kakae nae lakin aje hom akuchukue na awaambie wazaz anakuchukua cz itasaidia hata kuona aibu kukutesa na mambo mengne ya zarau yatapungua km kawaaga wazaz wako
 
Huyo ameisoma namba ya awamu ya tano na anataka kukutumia.
Usikubali kutumiwa eti kisa unajisikia vibaya kuitwa single mother.
Jitunze na umtunze mtoto wako, tafuta pesa na umuombe Mungu na yeye ndio atajua kesho yako. Kwa kawaida mtu awe ndg au mpenz hata mkigombana kuna kipimo cha maneno, ukiona mtu mkigombana anatoa maneno ya kukubeza, matusi au anatangaza udhaifu wako wa ndani ujue hapo hakuna mtu hapo.
Mimi sikushauri urudi, fanya yako dada ngu.
 
Wanaume wanaume... Afu mm najiulzaga iv unafklia nn kumchukua mtoto wa m2 uish nae hata wazaz wake hawajui akiumwa au kufa utafanyaje....
 
Single mother wewe hujifunzi kabisa. Mwanaume aliyekutapeli na kuzalisha mwanamke mwingine. Halafu anakwambia usifungue biashara yako ukakae naye tena bila ndoa. Mtaji wako umpe. Kesho si atakufukuza na malboro yako. Huu ni ujinga wa kiwango cha PhD. Chembilecho huko shuleni huwa mwaenda kusomea ujinga?

Nilimwambia ninaplan ya kufungua biashara huku nilipokaniambia niache twende tukafungue pamoja na yeye huko alipo yaani na yeye aongezee mtaji tufungue kitu kikubwa, mimi nimemwambia tufanye kwanza process za ndoa ndio niende anadai kwa sasa hela haitoshi tukakae kwanza uchumi ukishakaa sawa tutaanza mchakato.
 
Kubeba sizani maana biashara ni dispensary na nilishaona Nyumba tukaongea na mama mwenyewe Nyumba yeye ni muajiriwa serikalin kwa hiyo muda mwingi nitakua nakaa mimi
Elimu ya humu ndio itakuokoa. Hivi tuchukulie mfano umekubali kwenda kuishi naye, sasa mnafungua hiyo dispensary, siku ya kwenda kuchukua vifaa, nani atashika hela? Si lazima kwa kumwamini utamkabidhi? Je akienda kununua gari badala ya vifaa tiba?
 
Back
Top Bottom