Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,997
- 3,933
Mshana na je kuna uhusiano gani kati ya mtu akifa kuacha macho wazi KWA kuyatoa,je kuna uhusiano wowote na jicho la tatu?
Jicho la tatu ambalo position yake ni kwenye paji la uso ndio penye mawasiliano ya moja kwa moja na ulimwengu wa rohoMshana hili tatizo ninalo la nikilala chali huwa Nina experience vitu vya ajabu mpaka natumia nguvu snaa kupapatua sasa kwanza NI nini hasa kinafanya uwe kwenye hali hiyo na hiyo nguvu inapingana vipi na nguvu hasi then nini tiba yake ,and what make sense ukisema kinacholazwa chali NI Maiti tu ,je maiti inahusiano gani na jicho la tatu na kulazwa chali.
Ahsanti man .
Hapana hii inasababishwa na kitu kinaitwa HARI ZA KIFO. ..maumivu yatokanayo na roho kutoka kwa taabu
Kuna mengi katika hiliOkay ,thanks man !
So Mshana Jr,kwani tukifa tunaumia au ni just tremendous denial of the soul to leave the body ?Henceforth ina create hiyo shock ya may be macho kua wazi na mdomo etc etc and sometimes pia kuona watu wana bargain like screaming,crying ,making noise ,suffering ,sadness ,l don't think Kama itakua ni maumivu Mshana ,nadhani ni just denial juu ya Kifo ,nini rai yako Katika hili? Do we really feel physical pain when we die ?
Kuna mengi katika hili
-peaceful death hii mara nyingi watu hufia usingizini na hata sura zao huonyesha amani
-kufa bila kutaka, hapa mtu hataki kufa lakini ni lazima afe..hii huleta hizo hali
-kifo cha kisasi
Kifo cha dhuluma nk nk
Sometimes sio physical body pains tu ambazo hizi hutoweka mara baada ya roho kuachana na mwili bali Kuna yale maumivu ya kiroho kihisia from within..hizi intuitions ndio husababisha mtu kutoa macho kukunja sura (ndita) kuvuta mdomo nk nk
2?Ifuate Google
Nimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate.
Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za kiganga na kichawi kwa mfano muda wote movies unazotazama zikawa na uhusiana na mambo ya kichawi lazima reflection ya jicho la tatu itakupeleka kwenye mambo ya kutisha.
Nimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate.
Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za kiganga na kichawi kwa mfano muda wote movies unazotazama zikawa na uhusiana na mambo ya kichawi lazima reflection ya jicho la tatu itakupeleka kwenye mambo ya kutisha.
Vinahusiana kwa sehemu hebu search mada ya telekinesisMshana Jr. Je kuna uhusiano wowote baina ya third eye na law of attraction mafundisho?
Kuna vitabu viwili nimesoma vya Rhonda byrne kimoja kinaitwa Secret na kingine power, hivi vitabu it's like vinakuweka mtu free unaona life it's simple. Kwanza unakuwa na furaha, upendo wa hali ya juu, hofu zote zinaondoka. Vitabu vyote hivi msingi wake ni law of attraction. Thuswhy nkauliza kwa muktadha huo je kuna uhusiano. Pia hii law of attraction inakutaka ufanye visualization na imagination yaan uput in Ur mind vitu unayotaka in Ur life as if umevipata kwa kutengeneza image kwenye akili yako unavyo na unavitumia (action) na according to law utavipata ukiamini. Je visualization Ina impact gani ktk mind?Vinahusiana kwa sehemu hebu search mada ya telekinesis
Vizuri sana niwie radhi kwa majibu mafupi...nitapenda kukujibu kwa kina nikitulia tukumbushane nikipitiwaKuna vitabu viwili nimesoma vya Rhonda byrne kimoja kinaitwa Secret na kingine power, hivi vitabu it's like vinakuweka mtu free unaona life it's simple. Kwanza unakuwa na furaha, upendo wa hali ya juu, hofu zote zinaondoka. Vitabu vyote hivi msingi wake ni law of attraction. Thuswhy nkauliza kwa muktadha huo je kuna uhusiano. Pia hii law of attraction inakutaka ufanye visualization na imagination yaan uput in Ur mind vitu unayotaka in Ur life as if umevipata kwa kutengeneza image kwenye akili yako unavyo na unavitumia (action) na according to law utavipata ukiamini. Je visualization Ina impact gani ktk mind?
namaanisha hujajibu swali la pili 2..?I mean ingia Google kisha weka hiyo heading
wewe ulishawahi kulifungua..?Niwekee hapa tafadhali