Recent content by irene andrew

  1. irene andrew

    Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

    Itakua vyema tukipata na muongozo wa izo pesa zilizopatikana zitakavyotumika pia,co kusifia tu.kama vipi waongeze mwendo kasi za kwenda mbagala na gongolamboto au tuongezewe mahospitali basi tufanye hata kuboreshea mashule na vitu vya muhimu, ili tujue pongezi zetu zimefny kz. aya bac ongera...
  2. irene andrew

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    i wish hata wangeona ndani kdg,kiufupi ni pazuri yani sanaa,na asilimia kubwa y izi nyumba zina maswimming yani kila nyumba na swimming lake
  3. irene andrew

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    labda wazitumie kwenye swimming zao:p
  4. irene andrew

    TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    nakumbuka mwaka jana kama cjakosea,raic alisema izi bastola cjui ndo risasi zote zisajiliwe,tena yy alianza na yake,...... sasa me con km ni kazi ngumu sana kujua wahusika maan list ya wny silaha wanayo,na kama mambo madogo ivi yanawashinda hd wanasema watu wasiojulikana,basi ikitokea vita...
  5. irene andrew

    TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    Pole sana kwa aliyepgwa risasi,kizuri wamejua ni majambazi maan tumechoka hao watu wasiojulikana
  6. irene andrew

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Boys over flower naipnd sanaaaaa
  7. irene andrew

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Tena uyo aliempeleka uko alipo anywe soda ntamlipia tu......maan anaijua nchi yake vizur sn
  8. irene andrew

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    upande wa pili wamepaniki kweli yani,ss wamemkosa lisu wanamtaka dreva wa watu khaaaa
  9. irene andrew

    Sifa kuu za mwanasiasa mzalendo katika nchi ni mbili tu hizi hapa

    Baba wa taifa ni Nyerere tu na hata shuleni tumesoma baba wa taifa ni nyerere sasa uyo wako ww na co wetu,uyo ni raic ucje mfananisha n baba wa taifa,tene ucyalazimishie maneno ya MUNGU kuingia kwny mambo kama ayo aiseeee.....
  10. irene andrew

    Rais Magufuli anaposita kupelekewa list ya majina ya waliohukumiwa kifo kwa mujibu wa sheria ina maanisha nini?

    aiseee kusain kifo cha mtu iyo ni habari nyingine, magufuli ila hapa kaonyesha uanadamu kaasi chake,asije kusaini tu jaman na alieleta iyo sheria ya kunyonga cjui kama anamungu ndani yake,magereza yapo bora umfunge kifungo cha maisha na sio kumnyonga jaman mtu.
  11. irene andrew

    Mkasa wa mapenzi: Hivi jamii na wakwe wa huyu dada watanielewa kweli?

    endelea na hii kwnz bana unatukatisha utamu,alaf uwe unaeka na zile amsha amsha kabisa,yani walianzaje alimshaka wapi ivi lbd yn isisimue watu zaid,ila kazi nzuri ongera
Back
Top Bottom