Lotion gani nzuri kwa mwanamke na ipi nzuri kwa mwanaume ?

Mi sina specific lotion, kila Leo nabadilisha na kila nikijitahidi nibadilike hii tabia nashindwa,,,ila naenda Queen Elizabeth
 
Mafuta siku hizi natumia Vaseline yale ya mgando
Sabuni Geisha
 
Natumia futa la nazi usoni sabuni nayotumia Savlon hygiene soap shunie linamo cab ney emmyta sakayo mkuje na huku uremboni
Dada akee kwani jukwaa la urembo limehamia chit chat me natumia vaseline
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom