Recent content by IRAQW MINING

  1. I

    JamiiForums Tanzania Aibu gani???

    Take care,si wote wanavaa hivyo!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mpeleka polisi

    Tatizo ni matusi,hakuna sheria ya kumtusi mtu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    Huyu jamaa ni noumer mazee!yupo A city maeneo ya kisongo.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Imagine JF tunakutana ukumbini!

    Lizy nitamtambu kwa maneno ya shortcut,anapenda sn hizo aise!
  5. I

    JamiiForums Tanzania ndoa inanishinda nipen mawazo yenu

    hapo tuko pamoja mkuu,umetoa ushauri mzuri sana.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Dunia imekwisha

    Imekataa hiyo!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

    Hi my sister uko?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mume Kikojozi

    Naas ako!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mpenzi wako kufahamu kipato chako unachokipata?

    Niaje mbwa mweusi!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwako Mh. Godbless Lema......

    Mh lema ni kiongoz shupavu asieogopa kitu chochote kutetea maslah ya wananchi wake na taifa kwa ujumla,hongera sn lema kaza buti safari bado ni ndefu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mtu kuumwa ni uzembe au ni mipango ya Mungu?

    unamaanisha nn kaka?kwamba kuumwa ninini hasa?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mbunge atinga bungeni na hereni maskioni

    mambo safi ndio kuvaa heren ndugu?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume

    Hiv kumbe kuna nguvu za kike! I don kno kwkwli
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mtu kuumwa ni uzembe au ni mipango ya Mungu?

    Mm nafikiri kila ugonjwa una chanzo chake,kwa mfano kipindupindu chanzo chake ni uchafu,malaria n mbu nk:je mtu ukijizatiti na kufanya checkup mara kwa mara hatuwez kumwondoa adui maradhi?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mtu kuumwa ni uzembe au ni mipango ya Mungu?

    Wana jf kuna swala huwa nashindwa kulipatia ufumbuz, nikwmba mtu anapougua kuna uzembe hapo au ni mambo ya mungu?naomben ufafanuz pls!
Back
Top Bottom