IRAQW MINING
Member
- Apr 18, 2011
- 86
- 6
Wana jf kuna swala huwa nashindwa kulipatia ufumbuz, nikwmba mtu anapougua kuna uzembe hapo au ni mambo ya mungu?naomben ufafanuz pls!

Duh kwahiyo ulinzi wa Mungu unakomea wapi? Maana hata wale viongozi wa dini na wale waliotumwa kufanya kazi zake nao hufa hayamkini kwa maradhi. Kwahiyo inakuwaje?ni uzembe na mambo ya shetani. Mungu anatupenda na anatulinda.
Siyo mambo ya Mungu, matatizo yote ya afya ya binadamu ni mipango ya sheitwan
Kuna uzembe kama kipindu pindu, lakini kunamagonjwa kama kifafa, athma, na mengine mengi si uzembe wala si mipango ya mungu, kwasababu ukimuomba mungu anakuponya. Ila sina uhakika na MABUSHA, sijui yanatokana na uzembe au shetani.
Duh ww umetengeneza category ya tatu. Uzembe, mipango ya Mungu na ya tatu ambayo haipo kwenye zote. Yaani hii ni kuonyesha inconclusiveness tu na si jingine lolote. Maana akitokea mwingine akasema kifafa ni uzembe utamwambia nini? Lets be realistic hakuna cha uzembe katika kuugua. Kila mtu angependa kuwa na afya njema lakini kwa bahati mbaya haiwezekani. Ukienda kwenye nchi za wenyewe wanahuduma bora saana za afya na wametokomeza maradhi kama malaria lakini bado wanaumwa.