Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Landala, May 15, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa kutopendelea kula chipsi,pia ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi huweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Wanaume tuwe makini ili kuepukana na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.
   
 2. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Km zimepungua tafuna TIKITI MAJI japo vipande 2 kila siku zitarudi zenyewe.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeeeeee
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na mnavyopenda...poleni!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kuanzia leo chipsi adu yangu
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha kabisa usije ukakimbiwa buree...
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  yaani ningejua mapema..........
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  What about mabinti, wao nguvu za kike zinazidi nini??!!
   
 9. I

  IRAQW MINING Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiv kumbe kuna nguvu za kike! I don kno kwkwli
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hao watu hawajafikisha ujumbe ipasavyo,..
  wametoa ujumbe nusu,nusu wameacha kwa ajili ya watu kuangamia!
  Tatizo sio kula vyakula vyenye mafuta,tatizo ni wewe mwenyewe kuruhusu mafuta yajae mwilini!
  Unakula chips mayai afu unaenda kulala,..
  unakula kitimoto unarudi kwenye kiti cha kunesa nesa ofisini,..

  NOPE

  Wanaume tuache uzembe,TUFANYE MAZOEZI YA VIUNGO!
  Kula chips kibao,kula kitimoto utakavyo,..
  ila,.kumbuka kufanya mazoezi,choma calories mwilini,..sio kuzitunza utaliwa mkeo!
  piaaaaaa,...wengi wetu hatuli mboga za majani,..matatizo hayo!

  Ukiwa mwana mazoezi utagundua na variety ya mazoezi mbali mbali,..
  kila kiungo kina mazoezi yake,hakuna haja ya kuacha kula kitu ili "utunze" nguvu zako!

  Wazungu wanasema:
  What makes a man in bed is the number of reps he make,not the number of calories he has!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  number of reps????????
  fafanua hapo...
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wanakua na mafurikoooooo
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  How many "rounds" you make your woman travel
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kaka itabidi nikutafute soon...
  nahisi una idea nyingi za maana
   
 15. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani tatizo hapo saio viazi bali ni hayo mafuta yanayokaangia viazi ndo yanayoleta shida.Nakubaliana na wale waliosema kuwa wanaume inabidi tuepuke sana vyakula vyenye mafuta kwa wingi na pia mazoezi ni muhimu ili kufanya damu iweze kuflow vizur kwenye maeneo yote ya mwili hasa maeneo nyeti.
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  haha,theories tu kaka!
  Afu na zile movie itabidi uje uchukue pia
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  msiache chips mayai,viwete wataponea wapi sasa!
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hii sikuwahi kujua,ila najua matunda ni muhimu kwa afya pia!
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Lundala usiwe na wasi ujumbe naamini umefika.... umegusia nguvu za kiume...lol... wataacha tu...
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa unyama basi chips tutakula, na mkong'oto kama kawa.
   
Loading...