Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
una mana gani? Ajulishwe au la! Be specific.
Mkuu maana ya ndoa ni kwamba mmekuwa mwili mmoja sasa kuna ishu gani mkeo akijua mshahara wako? Unless kama ni kimada, sasa budget mnapangaje in the first place kama income haijulikani? Au ndiyo yale yale baba ndiyo mwisho. Mleta mada nakushauri from my own experince mwambie mwenzi wako mshahara wako na si tu kumwambia mwonyeshe salary slip, mpe access ya hizo funds panga budget pamoja tena ya mwaka mzima. It makes life so easy!!!!!!!!!!