Mapenzi ya mpeleka polisi

ata km ana uhakika bt stl HAUNA AHAKI YA KUMTUSI MTU

angefuata njia sahihi bt nt kutukana watu...afta low ni mwanaume aliyemfata uyo mwanamke mwngne(mara nyng)so ingekuwa busara km angezungumza na mumewe ....

wewe unamtusi mwenzio badaye anampitia anampeleka dina movenpick ..anapewa pole na kubembelezwa na tiket ya dubai kufanya shopng juuu..wewe upo ndan unaliwa na mbu....

ahh ukimwona mumeo kachopoka usiende kuvaana na mwanamke uyo wewe vaana na mumeo...NDO MWENYE KOSA


sASA ata km umemtusi ,,....umemchambaaaaa so wat?ndo waachane?ASI UNACHOCHEA MAPENZ YAO APO BILA KUJUA?

Makubwa tena haya da Rose
 
huyo hajawekwa ndani kwa ksb ya mapenzi, bali
kawekwa ndani ksb ya kutoa matusi na kashfa,

UNAPOGUNDUA MUMEO ANA MWANAMKE MWINGINE NJE YA NDOA,
USIGOMBANE NA HUYO MWANAMKE BALI DEAL NA MUMEO TENA,
KWA UANGALIFU ZAIDI, KSB NDIYO MBAYA WAKO.JARIBU KUJUA UKWELI ULIVYO,
MANAKE HUJUI MUMEO KADANGANYI NINI KWA HUYO MWANAMKE.

BAADHI YA WANAUME (WENYE NDOA) NI WAONGO SANA, MFANO
NILIMSHUHUDIA MTU AKIMWAMBIA MWANAMKE KUWA SINA MKE, ILA
NINA MPANGO WA KUOA PINDI NIKIPATA MWANAMKE NIMPENDAYE,
KUMBE HUYO MWANAUME ANA MKE NA WATOTO WA3, BAHATI NZURI YULE DADA MTONGOZWAJI, KABLA HAJAMKUBALIA YULE MWANAUME
ALIFANYA UTAFITI WA KUWASILIANA NA NDUGU ZAKE WALIOPO HUKU DAR (KSB HUYO MWANAUME ALITOKA
DAR NA KUHAMISHIWA KIKAZI ARUSHA). ALIPOMUULIZA KUWA KNN HASEMI UKWELI AKAWA ANAMWOMBA SAMAHANI NA KUMWAMBIA,
KUWA ALIOGOPA KUMWAMBIA UKWELI KSB ALIJUA ATAMKATAA.

JE YULE MWANAMKE ANGEMKUBALIA BILA KUMFANYIA UPEPELEZI SI ANGEUVAA MKENGE??.UDADISI WAKE ULIMSAIDIA SANA.
TUSIKURUPUKE TU KUWATUKANA HAO WANAWAKE WA NJE HUWEZI JUA MWANAUME KAONGOPA VIPI...,
BAADHI YA WANAUME NI WACHONGANISHI NA WAUAJI KABISA (UBINAFSI,TAMAA) VINAWATAWALA SANA......
 
Rafiki yangu kawekwa ndani Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumeweHaki iko wapi hapa?
umesema 1.anayemhisi 2.hakiipowapi hapo unalaum kitugani? Kumtusi mtu nikosa naaliye tukana kupelekwa polisi ni haki wewe unataka haki ipi itendeke? Inaonekana silafiki mwema humshauli mazuli ya kumjenga mwenzio
 
umesema 1.anayemhisi 2.hakiipowapi hapo unalaum kitugani? Kumtusi mtu nikosa naaliye tukana kupelekwa polisi ni haki wewe unataka haki ipi itendeke? Inaonekana silafiki mwema humshauli mazuli ya kumjenga mwenzio

Ningemshauri vipi sasa wakati yeye analalamika kaonewa. Ndio maana nimelileta hapa ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom