Recent content by intelinside

  1. intelinside

    Ukiacha awamu ya 6, kuna awamu nyingine ilipiga bei akiba ya Dhahabu kwa sababu zozote zile?

    Kwani lengo la nchi kuwa na hiyo Gold Reserve ni nini? Tuwe nayo tu pale BOT kama pambo au itusaidie nchi inapokua na uhaba wa fedha za kigeni kama hivi sasa? Mimi nadhani hoja ingekua kwenye kuhakikisha mchakato wa uuzaji usiwe na upigaji ndani yake, lakini kama nchi haina fedha na inahitaji...
  2. intelinside

    Vladimir Putin ameidhoofisha sana Russia na washirika wake tofauti na akina Stalin, Vladimir Lenin

    Napingana na wewe, ukifanya uchambuzi makini utagundua kuwa Putin anatumia akili kubwa sana kupambana na maadui zake hasa Marekani. Achana na propaganda za magaharibi, fanya analysis ya uchumi wa russia tangu aanze vita na Ukraine utaelewa kuwa Putin ni akili kubwa, na amewashika pabaya sana...
  3. intelinside

    Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

    Huu sasa ni upumbavu, hilo jengo ndio lililodondoka kariakoo?
  4. intelinside

    The correct way to interpret hiv/aids test results

    And yet you have not in anyway instructed THE CORRECT WAY TO INTERPRET HIV/AIDS TEST RESULTS Kazi kweli kweli....
  5. intelinside

    Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

    In GOD we Trust => katika Mungu tunayemuamini. We Trust in GOD => Tunaamini katika Mungu. In GOD we Trust != We Trust in GOD. Nadhani kuna kitu kimejificha kwenye hiyo sentence... Tiwaze...
  6. intelinside

    Artificial Intelligence ni ulaghai

    Na hiyo ndio sababu inaitwa na itaendelea kuwa na kufahamika kama Artificial Intelligence. Kwa kweli mpaka sasa imefikia pakubwa sana, infact yapo magari yanaendeshwa kwa AI fuatilia huduma ya taxi inaitwa waymo uone jamaa walipofikia, ni balaa. Ukizungumzia kukuzwa, yes, ndio biashara...
  7. intelinside

    PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    Mtoa mada inaonyesha haufahamu haya mambo kwa ustadi wake, yaani wewe bado una mtazamo wa software au app development ki uanafunzi sio ki professional. Hili ni tatizo la watanzanaia wengi kwenye industry ya IT, ukishangaa hili la JF, na ukajenga hoja zako za kwa nini hawakuandika code from...
  8. intelinside

    Nawezaje kubadili Jina kwenye Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto?

    Hana sababu ya kubadilisha, yeye andelee na maisha, kwenye mambo yote muhimu kiserikali atumoe majina ya kwenye cheti cha kizaliwa, hilo la kikatoliki aliyumie huko huko katolikini... Mtoto akikia afahamishwe majina sahihi ya kitumia kwenye nyaraka muhimu za kiserikali atumie lile liloko kwenye...
  9. intelinside

    Naumizwa sana na namna ambavyo TISS inakuwa ni ya siri kweli kweli, vijana ambao tuna project zetu sometimes tunahitaji sana support yenu

    Hahah, hao watu kama uliyemtaja, ni janjajanja ya kujua kuongelea products za wazungu tu na kuwatafutia masoko, hakuna talent yoyote hapo sanasana wana exposure tu. Yes wazungu wanawatumia ndio lakini si kuwatengenezea mifumo, la hasha, bali wanawatumia kuwatangazia bishara zao. Ikiwa hichi...
  10. intelinside

    SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements

    This is one of the most intellectual and polite critique... Kudos mdau!
  11. intelinside

    Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

    Ninaamini itakua hivyo ikiwa from the beginning ulidhamiria kufanya hayo, lakini kama wakaui mkiwa pamoja huyo anayethani ni victim kumbe alizingua yeye ikapelekea ulichomuahidi usikitimize, basi atasubiri sana hiyo karma itokee
  12. intelinside

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Kwanza pole, pili jipige kifuani sema mimi ni mjinga sana kuamini katika hila za shetani ikiwa ni kweli ulichoandika ndicho. Haya ni maoni yangu sasa, kama umesema kijana ni fundi, basi hajaanza kwako, kama ni business partiner ipo uwezekano anakuvuna, usijidanganye na maneno ya atakuoa na...
  13. intelinside

    Silaha za nuclear ziliwahi kujaribiwa wapi duniani hapa tukayathibitisha madhara yake?

    Habari wajuvi!, Naomba kufahamishwa ni wapi au namna gani zilijaribiwa hizi silaha za nuclear na hydrogen zinazoongelewa kila siku kuwa zikitumika dunia itaangamia? Natamani kujifunza tafadhali.
Back
Top Bottom