Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,357
- 35,760
Haya MuhA.😂😂😂 em niache
Hawije 😁😁
Haya MuhA.😂😂😂 em niache
Haha, sasa ni ule muda nitangaze masikitiko yangu 😂😂And she is my real one😂
Exactly na hii hata uwe umeokokaNdio ile what goes around comes around ausio!! Hahahaaa...
VizuriNinaamini itakua hivyo ikiwa from the beginning ulidhamiria kufanya hayo, lakini kama wakaui mkiwa pamoja huyo anayethani ni victim kumbe alizingua yeye ikapelekea ulichomuahidi usikitimize, basi atasubiri sana hiyo karma itokee
Khaa 🤣🤣🤣🤣Mimi nachukiaga sana mtu naempenda kama rafiki ndio anakuja kuwa mnafiki sijui tu kupiga hila ningepiga sana
Mama pastor 🙏Leo mood ya upole mkuu😂😂😂😘
HahaaDawa inakuwa haijamkolea
Dunia haijawahi kuwa na haki katika ulipaji wa dhambi