Recent content by INSULIN

  1. I

    Tembo aua Majangili wawili Mikumi

    Imenifurahisha hii, baada ya kazi za serikali ya wantende ninapita hapa jf kwa abcdz za hapa na pale, umenikumbusha mengi ktk habari hii, hebu fikiri tembo watangaze mtanange! Raia wa kawaida ndo watapata shida wala siyo kinana na wenzake. Na hili linatokea sana, waulize jamaa wa mahida chini...
  2. I

    huu ni utataaaaaa a a a a a a a!

    Kakue kwanza ndo urudi jf.
  3. I

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    safi sana vijana wa emirates
  4. I

    Baada ya kuzama chumvini kaanza kutapika, kuharisha, yupo hospital

    umenifurahisha sana.Du it profesionally bwana! step ya kwanza ni kuoga na kuosha kwa sabuni ya detol! khaah ujue udom mademu wote hoi na ch... au f...,!
  5. I

    Ntapata Galaxy S3 kwa tsh.300000

    Mbona kuna jamaa ameletewa na muuza duka la mhindi,mpya na complete ndan ya box kwa lak1.5!,tena amesema analeta i pads za kutosha wk ijayo. anataka apige hela asepe!
  6. I

    Usioe hili kabila kama huna msuli

    Mkuu nduka,nimetanguliza hyo kitu juu hapo,kukuunga mguu. Yaan we acha tu. Mmachame noma,ukitaka uhakika mpigie Mushi kwa -2x-2222
  7. I

    Usioe hili kabila kama huna msuli

    Ndesindinsombe!
  8. I

    Muslim University of Morogoro (MUM) to launch Chinese language programmes in the 2013/14 academic yr

    wasiwasi wangu ni ubora wa elimu wa hv vyuo mnavyoviita vyuo vikuu! Kuna ubabaishaji mwingi SAut,smmuco,tumaini,teku,n.k! Yaan wafanya research sijui wako wapi! Elimu zinazotolewa ziko shallow kutoka kwa watu shallow!
  9. I

    LUKUVI:Watanzania wajilaumu wenyewe kwa kutupeleka CCM wengi Bungeni!

    Niliichagua CHADEMA,kura hzikutosha tu huku kwetu. Tunahitaji mabadiliko watanzania. Hizi ni aibu kwa watz
  10. I

    Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Huyo mwanamke mpuuz kweli. anamume tayari huko kazini,na hamfahamu,anataka awachanganye. mpaka anaamua kuzaa nae maana yake anamwamini jamaa wa kazn kwake sana. Toka nduki hafai huyo.
  11. I

    Jamani tindikali zitatumaliza

    Mwosha naye huoshwa,subira muda wako. Niwaombe jamaa wasikumalize tu,na wasiiharm familia.
  12. I

    Kusafisha kwangu KIWI CHA MACHO kukaniponza Mwanajeshi akanikata mtama…!

    Daah kweli jamaa mtunzi wa story,maana kwa ulabu huo na kibano cha mjeshi asingeandika haya jf! daah,ameniburudisha sana, bravo mtambuz!
  13. I

    Kazi za ndani Saudiarabia: Abasi Mtemvu awataka wa Tanzania waende!

    Umenena,apigwe chini. Kiongoz wa aina ya Mtemvu usitegemee lolote kutoka a.k.l.n mwa. k.e
  14. I

    Zingatia kabla ya kuoa

    Boflo nipe data za wambulu!
Back
Top Bottom