Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

Misongo mingine ya mawazo ya kujitakia, sasa mtu ana mimba ya mwanamme mwenzio wee unasongoka nini?

Kama una kifua beba mwanamke na mtoto wake, kama huuna kifua tafuta mwingine uanze upya.

Afu unawaonea aibu wazazi wako, umekuwa mwali au ulikuwa unawaolea wao? Grow up!

Na kuzaa hakumfanyi huyo dada moja kwa moja asiwe mke mwema, labda alizidiwa na 'ash.ki' tu.
teh kwani mimbaani sumu useme haoleki utakufa?
 
Kama kaweza kubeba mimba ya mtu mwingine na bado akawa hana haya kukueleza....
jiulize ni kipi anaweza kukifanya akiwa ndani ya ndoa tayari.....

cut her loose and forget..... What a dumb girl...
So pathetic....

Bora kupasukiwa na yai .. Usiombe kupasukiwa na yai-viza!!
 
Huyo mwanamke mpuuz kweli. anamume tayari huko kazini,na hamfahamu,anataka awachanganye. mpaka anaamua kuzaa nae maana yake anamwamini jamaa wa kazn kwake sana. Toka nduki hafai huyo.
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.
Badala kushukuru kwamba umejua ukweli unatuletea madukuduku kaa naye basi mshee na mwenzio
 
Km hakuweza kukuvumilia kidogo tu ulivyoenda kusoma sijui kama hiyo ndoa ataiweza tatizo tamaa zimezidi mpk kaingilia kwenye ndoa za wengine, haya km unamapenzi ya kihindi mfichie aibu yake.
 
be strong bro, she was not meant 4 u. Anza upya tu upate peace of mind, otherwise itakutesa sana particularly mkikwarzuana hata kidogo tu.
 
Misongo mingine ya mawazo ya kujitakia, sasa mtu ana mimba ya mwanamme mwenzio wee unasongoka nini?

Kama una kifua beba mwanamke na mtoto wake, kama huuna kifua tafuta mwingine uanze upya.

Afu unawaonea aibu wazazi wako, umekuwa mwali au ulikuwa unawaolea wao? Grow up!

Na kuzaa hakumfanyi huyo dada moja kwa moja asiwe mke mwema, labda alizidiwa na 'ash.ki' tu.

Hivi mpaka leo bado kuna Wanawake wapata mimba kwa bahati mbaya? Au wanadhani condom hasa matumizi yake ni kwa ajili ya nini?
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.

Hongera soon utampata mwana! Huna msongo wa mawazo usijal...wenye msongo wa mawazo huwa hawajitambui
 
Hakufai, km alifikia hatua ya kuzaa ilhali akijua we upo maana yake hata ukimuoa na ukasafiri atarudia tu mchezo wake!
 
Achana na mwanamke wa dizaini hiyo asiye na msimamo! Atazaa na mdogo wako wa kiume afu atakuja akupe story za kutaka huruma. Hivi unajua process ya kutafuta mtoto kitandani inakuwaje? Sasa chora picha huyo mwanamke wako alivyokuwa ana participate na mume wa mtu hadi akamwagia virutubisho.......then yai likakubali! Na ka foetus kakaanza kumea bila ubishi!!!!! Ukishayajua hayo utajua huyo ni malaya. Matangazo yote ya Ukimwi kayapuuza.....kaenda kumgawia jamaa pekupeku! Mhhhh
Kama kaweza kubeba mimba ya mtu mwingine na bado akawa hana haya kukueleza....
jiulize ni kipi anaweza kukifanya akiwa ndani ya ndoa tayari.....

cut her loose and forget..... What a dumb girl...
So pathetic....

Bora kupasukiwa na yai .. Usiombe kupasukiwa na yai-viza!!
 
Mungu amekuonyesha mapemaaaaaaa. Uaminifu haupo na subira hakuna. Akinyegeshwa anaitika wito wa kuzini. Ama hata wewe ulikuwa unazini nae kabla kwenda masomoni South. Kama ndivyo kata shauri la kusamehe uendelee naye. Mazingira uliyatengeneza mwenyewe. Nature is neither created no destroyed. Nature ilidai wakati hupo, ulitegemea nini?
 
Kama kaweza kubeba mimba ya mtu mwingine na bado akawa hana haya kukueleza....
jiulize ni kipi anaweza kukifanya akiwa ndani ya ndoa tayari.....

cut her loose and forget..... What a dumb girl...
So pathetic....

Bora kupasukiwa na yai .. Usiombe kupasukiwa na yai-viza!!

mkuu hiyo sentensi ya mwisho kabisa imenifanya nifurahi sana asubuhiii ya jumatatu ha ha ha ha...jf haijawahi niboa
 
mchumba mbuzi huyo,,,that's rubbish piga chini kitu gani bhanaaaa!
 
Mi naamini mungu alitaka kumuumbua ili uone maovu yake kabla hamjaoana,inavyoonekana hajatulia na atakusumbua hata mkioana,fikiria hata mkiwa hapa lakini kazi zikawaweka mikoa tofauti itakuwaje?

Yeye alitegemea nini kutembea nje mpaka na mimba juu? Nadhani ni muda muafaka kwako kujipanga upya katika mapenzi achana naye.
 
Back
Top Bottom