Naomba kueleweka mambo yafuatayoo
1. Kwanza siku maanisha wamachame peke yao nimemaanisha kabila lote la wachaga ila mimi ndio nimeoa mmachame
2. Pili sikusema wachaga wasiolewe ila nimesema inabidi uwe na msuli yani ukaze buti
3. Mimi ndio yangu iko imara mpaka sasa ila nimefanikiwa kukabiliana na hizo changa moto
HITIMISHO
Narudia tena kama huna MSULI usithubutu kuoa mchaga utajuta, najuwa kuna wadada wengi humu wana wachumba wa kichaga hivyo wanaona mimi naharibu deal bali nawaonya nyie wachumba kuweni makini kama huna msuli kaa mbali utakuja kulia. Acha kuchukua majibu mepesi mepesi eti inategemea, siyo wote, kila kabila wako hivyo. Acha bwana hawa wadada ni hatari kabisa na wote baba yao mmoja na mama yao mmoja. Mimi katika ukoo wetu ndugu kama 23 wameoa wachaga na kila mmoja analia mziki wake.Sasa sijui mnataka nitoe experience gani tena. KAMA UNABISHA OWA SIKU MOJA UTAKUJA KURUSHA UZI HAPA.