Zingatia kabla ya kuoa

Zingatia kabla ya kuoa

no but am chaggga will u mary me? or if ure a women will u mary ma brother i will not do any harm to you!!

Je kamchezo siku hizi mnakajua au bado ni kama zamani we fanya tu babaangu ukimaliza nifunike ulale..... Owsh naulisa tu Mae....
 
Kwani Mkuu shida yako si kukojoa???? Akiwaza hela we hukojoi? Tatizo kama huna hizo hela ndiyo tatizo!!!!

mkuu mauno na kakilio mahaba unavkosa,c unajua zle za"ashiih bebii ivoivo" znavoletaga stim za kugegeda
 
ukitaka mapenzi ya much know OA MNYAKYUSA:smile-big:
 
Mimi Mchaga tu ili mradi asiwe mpalestina!!! Piga ua wale ukioa hufi njaa, na wako strong hata kama Mungu amekupenda zaidi watoto ni lazima watasoma na maisha watapata!!! Kubali kataa ni hiari yako ila penye ukweli tuseme na tuachane na ushabiki!!!
 
ukitaka mapenzi ya much know OA MNYAKYUSA:smile-big:

Hapo tegemea na mume mwenza atakayekuwa anatambulishwa kwako kama kalumbu a.k.a kaka!!! Likewise ukiolewa na Mnyakyusa tegemea mke mwenza, naye kalumbu a.k.a dada!!!! Hawako mbali sana na wahaya kitabia!!!!
 
Inaitwa shuntama n kwere hiyo ukiwekea hata job huendi.bt cku hizi cjaisikia kma inafanya kazi
 
mkuu,, ungejua kesi ya nyani apo unamweleza ngedere...:tinfoil3:..
ikuti ndo mchezo..
 
Nimezunguka sana nchi hii kwakweli kwa ujumla kila kabila lina umalaya (samahi kwa neno hilo) sema ni jinsi gani wanawake/wanaume ulivyowakuta na wanajiheshimu vipi. Pengine mtoa post hiyo kila kabila ulilo itaja hapo ulisha pitia na ukatoa wazo hilo maana msimulia mvua. Haya makabila yana watu wengi sana na wewe ulifikiri bila hivyo wangepatikana vipi? Mie nadhani siyo muhimu sana kujaji sana makabila bali watanzania kwa ujumla tu tubadilike na kuheshimu misingi ya dini na huenda hata magonjwa ya zinaa ya kapungua kama siyo kwisha kabisa.

Wewe Padri?
 
Post za humu zinaweza nighaili kumuoa Mrangi wangu Cheupe wa barabara ya kumi na mbili ni mbichi kabisa.... Mambo ya kuwekewe Shuntama n Kwere tena... naona niache kula nyama za Home niishi nae fresh
 
Post za humu zinaweza nighaili kumuoa Mrangi wangu Cheupe wa barabara ya kumi na mbili ni mbichi kabisa.... Mambo ya kuwekewe Shuntama n Kwere tena... naona niache kula nyama za Home niishi nae fresh

ha! ha! ha! ha!
umekwishaaaaaaa!!!!
 
Mimi Mchaga tu ili mradi asiwe mpalestina!!! Piga ua wale ukioa hufi njaa, na wako strong hata kama Mungu amekupenda zaidi watoto ni lazima watasoma na maisha watapata!!! Kubali kataa ni hiari yako ila penye ukweli tuseme na tuachane na ushabiki!!!

Kumbe kuna wapelestina na wa israel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom