Usioe hili kabila kama huna msuli

Usioe hili kabila kama huna msuli

Mkuu nduka,nimetanguliza hyo kitu juu hapo,kukuunga mguu. Yaan we acha tu. Mmachame noma,ukitaka uhakika mpigie Mushi kwa -2x-2222
 
sisi tunaongoza kwa kuolewa na race zote duniani nadhani wewe dada zako wameishia hapo hapo kijijini kwenu hata kijiji cha jirani hawajafika! so cheap!

Smile watanzania hatuna ukabila na ndo tofauti yetu na nchi majirani ila kwa hili la wamachame ni janga kuu..naamini si wote ila asilimia kubwa ni matatizo tu...ukitaka kuamini Fanya research ndogo tu utakubali hata kama hutatoa report...juzijuzi mashambulizi kwa Dada yangu ufoo saro yalikuwa mengi na zaidi likiongelewa kabila lake, Kutafta hakuna MTU anakataa wajibu kama mwanaume lakini katika maisha lolote linaweza kutokea, economic crisis ni kitu cha kawaida ambavyo mnatakiwa kupambana nalo si ubabe na dharau eti mume amepoteza sifa ya kuwa mume, wakati mnaoana alikuwa ni honey kwa sababu cash flow ilikuwa njema.Mimi partly ni machame lakini hainifanyi kuukwepa ukweli na challenges. Nadhani ni vyema kubadirisha mitazamo ya watu na kuishi kama mwanamke wa kiafrica.kupendana pande zote ukweni na kwenu ndio ngao ya kwanza sio mama mkwe kuwa ndo mtawala kama wengi Dada zangu mfanyavyo.
 
Duh ngumi na vichwa tena.

Mkuu kama mtu ameshindwa kucomply na wewe kwa plan A inabidi umpatie plan B na C kama itawezekana. Lazima akuogope kama kukuheshimu ameshindwa. Lakini nakiri ukweli hawa wadada wa kimachame ni wazuri bhana! Wao hawana yale maumbo common kwa wachaga wengi. Wameumbika kwa sura na maumbo.
 
Kaka ukirusha jiwe pangon atakayepga kelele limempata naona umewapata wengi apa

Hivi, nina kaswali kadogo tu! Hawa wakwe wa kimachame na watoto wao wa kiume huwa wanakuwa wasemaji wa familia zao? Maana ugomvi mwingi unaotokea kwenye ndoa za mabinti wao ni kwa sababu wanataka wao ndo wawe wasemaji wa hizo familia. Au watoto wa kiume huwa wanawaachia nao watawaliwe huko waliko?
 
Mwanamke ukimtia vizuri ukaenda uvinza heshima juu
Hakuna cha upalestina
 
Ni kweli ndugu yangu hawa c wa kuowa chunguza arusha na moshi ndio kuna wajane wengi wanauwa wanaume hao mashetani
 
Mkuu kama mtu ameshindwa kucomply na wewe kwa plan A inabidi umpatie plan B na C kama itawezekana. Lazima akuogope kama kukuheshimu ameshindwa. Lakini nakiri ukweli hawa wadada wa kimachame ni wazuri bhana! Wao hawana yale maumbo common kwa wachaga wengi. Wameumbika kwa sura na maumbo.

Kwa upande wa watoto wa kiume mama hawana usumbufu kama kwa Dada zetu. Na hii inatokana na kutokuwa na imani na mkwe wake dhana hii imejengeka kwa wamama kitambo, hawakai wakawaza positively kwa wakwe wao. Huwaza kwamba watoto wao watarubuniwa kimapenzi,kiuchumi,kijamii. Ndio maana kuna tuhuma za kufikia kuuondoa uhai ikibidi ingawa hili linapungua kadiri Siku zinavyosogea.mama huchukua jukumu la kumuongoza na kulinda mwanae asionewe na kuhujumiwa na makabira/jamii alioolewa..hapa ndo vurugu inapoanzia..
 
sisi tunaongoza kwa kuolewa na race zote duniani nadhani wewe dada zako wameishia hapo hapo kijijini kwenu hata kijiji cha jirani hawajafika! so cheap!

Daaah mbona umepaaaniiickkk sisterrrlllyyyy...? Dont get so emotional..toa facts watu wakuelewe...sio..unazungumzia hisia..keyboard etc etc...yeye kasema chukulia hata mfano wa personal experience, majirani etc etc..ila no offence though..ni mtazamo tu huu...
 
Ukitaka kupata mke mzuri na mama mzuri wa mtoto wako nenda kaoe kwenuuuu kijiji ulichozaliwa
 
Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja comment refer to yourself, your friends or your relatives who have got married to this tribe.

Ni wanawake wazuri kwa sura na pia wanajituma sana katika kutafuta maisha, shida zao ni kama zifuatazo

1. They are cash driven
2. Wababe
3. Wanapenda kumtawala mwanaume
4. Hawajali nyumba
5. Hawajali ndugu
6. Upendo pia si kivile kama huna mpunga
7. etc ect unaweza kujaza

I don't mean to say that you shouldn't get married to the women from this tribe no, but you need to take those challenges into consideration and note that it may also be difficult to tackle them and that's why the marriage get broken.

All in all you should play your card very smart so as to get it balanced. Mine I have in the marriage for 13 years now with a Machame woman but i have encountered a lot of challenges.

Wanawake wana roho mbaya sana
Kumbe ulikuwa unamaanisha Wamachame!
 
Pole saana... Lakini pia ukumbuke kua ulikua
na options nyingi tuu kabla ya kuoa....!.!
 
Arif upo? Long time no see.

BTT: mwanaume anayelialia na kukubali kutawaliwa na mwanamke ni mzembe kama dola za Mugabe. Baaas
Nipo Arifu..... siku hizi nimekuwa msomaji mzuri kuliko mchagiaji!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom