Recent content by inspectorbenja

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Suzuki Swift Toleo la kwanza,binafsi naona ni gari zuri,engine stahimilivu,spare zimezagaa kama njugu sababu gari zenyewe nazo ni nyingi sana.Inakuja na engine ya M13. Ila mashauri Suzuki swift Toleo la pili,wengi huoenda kuita Suzuki swift new(Si unajua sisi waswahili tena.) Faida yake Toleo la...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

    Mimi NADHANI muacheni Mbowe aishi maisha yake Mlinyanyasa sana na kumtukana wakati ni Mwenyekiti.Mkasema hatoshi,kawaachia chama chenu.Sasa mbona mnamsakama tena.Ninyi si mnaweza,pambaneni
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Ilikusumbua nn kiongozi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kero: Michango ya Taaluma na Ujenzi Einoti Secondary, wanafunzi warudishwa nyumbani

    Kaka kama fedha za Elimu Bure Hazitoshi kuemdesha shule,unadhami zitaendeshwaje. Watu Huwa wanalopokanlopoka tu,hawajui ilivyo gharama KUBWA sana kuendesha shule.
  5. I

    JamiiForums Tanzania DJ SMA mchambuzi uchwara na chawa anafadhiliwa na nani ?

    Hata siasa za Middle East Acha uongo,hata siasa za Middle East anaokoteza okoteza habari kwenye media ambazo zinafadhiliwa na Qatar,anaunganunga na kujifanya mchambuzi.Anapotoshanmno.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said acha kupindisha historia, ni Nyerere aliyetuletea uhuru, sio wengine

    Da,Mzee huyu kichwa ngumu sana.Kila akiambiwa maandiko Yako yanasheresha mahaba mazito uliyonayo kwa dini Yako.Anajifanya kichwa kigumu. Alafu anaposema tatizo la udini tunalo,ana maanisha nn.Maana Mfano Sasa hivi inaonekana kama Kuna dini ambayo yenyewe ndo ipo kwenye safu zote.Ayansasa Hilo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Mmekariri chuo kikuu ni mpaka kuteseka BILA sababu za Msingi.Alafu.ukitoka apo unaishiankuwa kama Prof Osoro-i did not wake up well today. Acheni kukariri elimu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 12 M napata gari gani?

    Tafuta gari la Mil sita,badili engine weka engine ya Mtumba haizidi hata mil mbili,fedha nyingine paka Rangi quality,rekebisha mfumo wa aC,na matengenezo madogo madogo.Unaoata kitu kioya kinyemi kabisa.
  9. I

    JamiiForums Tanzania KERO Tumepima korosho toka mwaka jana mwezi wa 11 ila hadi leo hii hatujalipwa. Wahusika ni chama cha msingi Mkola (MKOLA AMCOS)

    Poleni sana.Kwa kweli Mimi Huwa nikisikia meno AMCOS,Huwa najua hapo ni kudhulumiwa tu.Na Imani yangu ni kuwa AMCOS ndo chanzo Cha umaskini wa watanzania
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mapiduzi ya usafiri: Pikipiki za umeme(RAVOX). Je, ni suluisho la gharama za mafuta?

    Watu wengine Huwa Hawaii serious kabisa.Yaani ndo wamekaa chini na kuja na hako kadide,yaani kana muonekano mbaya.Kwani KULIKUWA na ubaya Gani bodi likawa kama pikipiki ya kawaida alafu engine ndio ikawa ya umeme. Hako ni kabaya,hamtaoata wateja isipokuwa mmoja moja sana.. Poor research,poor design.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Suzuki Swift new model inatumia atf gani

    Salam,nimerudi tena kuelezea kilichonikuta.Hoe wengine watajifunza.Niliuliza swali kuwa Suzuki Swift second generation inatumia oil Gani ya gearbox.Hakuna aliyenijibu.Nikajaribu kuukiza uliza watu mbalimbali Hadi baadhi ya mafundi.Si unajua Niko country side,wakaniambia atf ya kawaida.Mzee...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya Suzuki Swift new model vs Old Model

    Zote ni Bora,zote ni ngumu zote ni imara, zote engine zake ni roho ya paka.Tofauti yake ni hii. First generation ina ufinyu wa nafasi kidogo, halafu muonekano wake ni kama wa kizamani kidogo, ila Hilo suala la kisaikolojia, halina maana yoyote. Second generation, nayo ni imara vile vile, tena...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    Hapo ukiposema ni cvt ina gear Saba,umebutua vibaya mno.Geatbox ya CVT haina gear ratio.cvt belt inajiadjust kadiri gari inavyoenda No gear ratios
  14. I

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Matenki yake mabaya kama ya boxer.Mnashindwa hata kuwa na matenki mazuri kama ya Honda CB au Hauojue Individual Kusema ukweli matenki yake mabaya sana.Mmechukua frame na tenkinla boxer mmepachika vifaa vya motor ya umeme. Rekebisheni hilo
  15. I

    JamiiForums Tanzania Okoa gearbox ya gari yako sasa

    Hii inanyesha gearbox Yako ni Cvt na siyo gearbox ya kawaida.Hiyo inaineoqna belt imekatika,mara nyingi inasababishwa na kutumia oil isiyo sahihi.Hiyo inaytengeneseka,nenda kwa mafundi gearbox ilala pale dar.Wanatengeneza hiyo,wanabadilisha belt,aidha unaweza kuagiza hiyo belt iliyokatika...
Back
Top Bottom