Msaada: Suzuki Swift new model inatumia atf gani

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
650
Reaction score
716
Wadau salam,mimi kabwela "Common man" au msakata tonge nina kausafiri kangu Suzuki Swift second generation ya 2008.Engine yake ni K12B.

Je atf yake ni ipi,najaribu kugoogle nakytana na vitu kama GL 4 n.k.Bado sielewi vizuri.Naombeni msaada wa kuelimisjwa vizuri.Maana nasikia gari nyingime ni T 4 .n.k.

Dip stick yale imevunjika,hivyo sioni maelezo.
 
Sema kuiita 2008 new model sio poa.
Kiongozi niko makini ssna,hakuna mahali nimetaja niew model.Nimesema second generation.Ninatambua mpaka sasa suzuki swift new model ni generation ya nne.
 
Screenshot_20240821-221820.png
 
Salam,nimerudi tena kuelezea kilichonikuta.Hoe wengine watajifunza.Niliuliza swali kuwa Suzuki Swift second generation inatumia oil Gani ya gearbox.Hakuna aliyenijibu.Nikajaribu kuukiza uliza watu mbalimbali Hadi baadhi ya mafundi.Si unajua Niko country side,wakaniambia atf ya kawaida.Mzee nikaweka atf,baada ya miezi kadha gearbox ikazingua.Kumbe gearbox ya hii gari ilikuwa ni cvt,mimi nikaweka atf.Nikaja.kuhundua kumbe hizi gari,zina matokeo yenye engine tofauti tofauti na gear box tofauti tofauti,ni muhimu ukajua engine Yako ni aina Gani na gearbox yake ni aina Gani.Mfano Kuna zenye Engine ya M13A na gearbox ya Automatic au manual.Kuna zenye engine ya K12B zenye gearbox ya Automatic,manual au cvt.Pia.kuna Zenye engine ya M15,gearbox inaweza kuwa automatic,manual au cvt.
Hivyo ni vyema ukajua ni engine Gani na gearbox ni ipoi.Ya kwangu ilikuwa ni cvt.Ikabidi ninunue gearbox nyingine.
CHANGAMOTO niliyokuwa nakutana nayo,oil seal ya kwenye converter kuvuja,wakati mwingine hata kwenye axle za miguu kuvuja.Nimeagiza seal Dar,mpaka nimekoma wapi.Fundi akasema pump,mbovu.Tumebadilisha pump zaidi ya nje wapi.Ikabidi niombe msaada wa kitaalam kwa jitu miraba minne.Hakuna mtu hakuonyesha ushirikiano kama huyu,ila simlaumu,huemda ana aina yake ya watu ambayo Huwa anacatch up nao.
Suluhisho lilikuka kupatikana na fundi nisiyemdhania.Alikuja kugundua,ukiweka seal unatakiwa kwa juu iwekwe gundi ili islip au kuteleeza.Baada ya kufanya hivyo kwenye seal za converter na miguu.Tatizo Hilo liliondoka kabisa.
Nimejifunza kitu,huku Kuna watu Wana maarifa ila wachoyo.
Unaposhare unachojua,unasaidia mwenzako kuepuka haaara
 
Pole sana chief na ahsante kwa mrejesho!
 
Back
Top Bottom