Recent content by Innocent Citizen

  1. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Mtaji wa kwanza katika maisha ni afya mengine yanatafutika
  2. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kale kausingizi hakapo tena

    Aisee nahisi Mungu alitulia sana wakati anaumba mbususu, Nahisi aliweka nusu ya akili zake kututolea wadau Kitu kitamu vile, How God is Good, Utukufu wake ni wakutishaa kuna vitu nikivitazama kama Mbuye nasema he is the Grand Great Architecture
  3. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

    Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
  4. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    2025 wagombea lazima watumie mwamvuli wake
  5. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    15 vp chief
  6. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Fatma hana moral authority ya kukisema Chuma JPM, Sisi wazee wa imani tunaamini kuwa Kifo cha JPM ni Sadaka kwetu, Mtu aliyepambana Wananchi wake asiwafungie ndani kisa Convid mtu aliyetoa hofu ya convid mpaka kupelekea shughuli za uchumi kutosimama na taifa kutoanguka huyo ni Shujaa kama askari...
  7. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Show Room nzuri Dar es Salam

    Wakuu nipo Mbioni kutafuta ka usafiri, Sasa nimekuja hapa ili mnipe uzoefu wa Credible show room inayouza magari mazuri dar na inaaminika
  8. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    I have set out everything concern that trip, i had a plan to find an Airbnb house but i have researched and find those airbnb’s are not safe enough, i have decided to stay at a hotel
  9. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    Any leads please? Clarify your statement
  10. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    Just a Bus
  11. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

    Sikuhizi haya mambo ya Uhendisamu bado yapo kweli? Situmekubaliana tu wote tutafute Hela
  12. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Watu wa Ikulu mnalala sana

    Acha kupotosha mkuu ile hali hujacheki vizuri, Website imemuweka Samia at the top kwa vile ndo Incumbent, Ila pia Ikulu huwa inaweka wasifu wa Tenants(presidents) wote ambao wamehold hio office kuu kabisa
  13. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania TANESCO kutoa mikataba ya uunganishaji umeme kwa makampuni binafsi

    Subcontracting ni nzuri kiasi na inaweza kufast track process ya wateja kuunganishwa ila tujue pia lazima Issue ya quality tuiangalie kwa Jicho kali sana, hawa Contractors wengi watakaopewa hizo kazi watakuwa na mikono ndani ya shirika ivo kupelekea, wasimamizi kushindwa kuwawajibisha wakikuta...
  14. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    Hii Move nilisema kuwa isipokuwa well Calculated tangu pale awali tunaweza kujikuta 2025 tunaimba nyimbo za Magufuli
  15. Innocent Citizen

    JamiiForums Tanzania Hi, mimi ni mgeni ninaomba ninaomba mnipokee humu

    Every JF member joined forum decently, But few months to come you will come up with anonymous ID and Regret for exposing your ID at first
Back
Top Bottom