Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 340
Siku nikiwa na safar ya huko nitakuja dm niko seriousYeah wana akili. Iwe Masasi mjini au vijijini.
Siku nikiwa na safar ya huko nitakuja dm niko seriousYeah wana akili. Iwe Masasi mjini au vijijini.
Mjasili haachi asili.Sisi Wamakuwa intellectual hizo mambo za kukatiwa mauno hatupenda gi sana.
Masasi kuko poa..hivi kuna madini gani masasi?Mimi home ni Chiroro na Nakole mkuu. Naipenda sana Masasi and I am proud for that
Hahaaa..ipi hiyo nandete ama?Umetaja na Capetown kabisa, daaah!!!
Mwezi wa9 wakianza harakati za korosho ntakua huko.Masasi kutam sana... God wishes naingia mwezi ujao huko kwenye harakati zangu.. tukutane usiku uwanja wa fisi mkuu tupige moja baridi moja joto