Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Ongeza kikombe cha kahawa ulete na kashata za kushushiaBucha ilikuwa bucha kweli
kweli siyo Ukraine tu hata NATO militants walikuwepo ndio maana Biden ilimuuma kweli alivyokuwa poland
Ongeza kikombe cha kahawa ulete na kashata za kushushiaBucha ilikuwa bucha kweli
kweli siyo Ukraine tu hata NATO militants walikuwepo ndio maana Biden ilimuuma kweli alivyokuwa poland
Wewe unatumia internent ya Russia hapo ulipo?Kua na internet yakuzuii kutotumia net ya wengine
Hvyo vyombo vyahabari vinafungiwa kwenye mitandao mfano JF IG nk
Au unadhani habari za RUSSIA zinakuja kwa barua!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasaUSA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa
Russia sio kwamba hawezi kuwafumua Washington DC ila hataki lawama za kuja kuonekana ndio alianzisha vita kwahio alipe madeni.
Unaripoti kutokea wapUSA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa
Russia sio kwamba hawezi kuwafumua Washington DC ila hataki lawama za kuja kuonekana ndio alianzisha vita kwahio alipe madeni.
.....uko zako mbagara unawaza uhalo
Hapo anaendesha operation safisha NAZI!!!Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
Ukraine mnaidharau sana nchi inayotengeneza engine za rocket inayounda vifaru na yenye vinu vya nuclear vya kutosha nchi iliyokuwa na ndege kubwa zaidi duniani na ilikuwa ina wanajeshi walioandaliwa na NATO for almost 8 years.Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
Siku aki aproove unageuka kuwa ntoto ya mwewe na SII ya kuku Tena 🏃Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine
1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...
2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?
3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?
Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....
Link
View attachment 2241675
Ukraine ingepata hizi silaha za masafa marefu toka awali ingepunguza kasi ya wavamizi huko mashariki.Ila alikubali kufanya kosa la kutoa anti aircraft na anti tanks missiles? Anti ships je? Zote hizo alikubali kufanya hilo kosa? By the way hii ni Vita, kwenye vita kuomba msaada au kusaidiwa silaha ni kawaida kabisa.
Nakuhakikishia kuwa bwana ako US akithubutu kutoa long range missile kwa UKRAINE pamoja na kwamba hakuna hata moja itatua salama kwenye ardhi ya Urusi kitakachotokea huko US ni mimba kila kona bila kujali una jinsia ganiPro Russia in denial,mko vizuri sana katika kuzifurahisha nafsi zenu,subirini pale Putin atakapofungasha virago kwa aibu Ukraine ndiyo mtajua kuwa aliuvaa mkenge Ukraine.Nakumbusha tunaelekea mwezi wa nne sasa kutoka lengo letu la 72hrs special Operation![]()
Kwani USA alitumia muda gani Korea Vietnam na Afghanistan?Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
Bado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media.Absolutely true![]()
US hana mpango wa kushinda vita bali anataka Urusi ivuje damu ya kutosha.Kwani USA alitumia muda gani Korea Vietnam na Afghanistan?
Mbona mmarekani mnayemwona kama mungu alikaa Afghanistan miaka 30 bila kufua dafu akakimbia?Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
Kutokuitumia haina maana kama wao hawanaWewe unatumia internent ya Russia hapo ulipo?
Kwa mjibu wa Nani mkuu?US hana mpango wa kushinda vita bali anataka Urusi ivuje damu ya kutosha.
Hawa Magaidi wa Marekani badala ya kutafuta namna ya kumaliza vitu wao wanatengeneza mazingira ya kupenyeza silaha zao angamizi kwenye mataifa ya watu.Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine
1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...
2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?
3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?
Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....
Link
View attachment 2241675
sio hoja simcard ikitoka najiunga naoWewe hebu nenda katumie hiyo internent ya Russia kama ipo,yani unazomoka hapa 24/7 kwa msaada wa Internent ya US halafu waleta madharau.Hiyo GPS ya Russia ndiyo imekufanya u login in hapa JF?