Mbona unasema hakuna alipokosea, alafu kama unamtetea kwa kukosea jambo hivi [emoji16]...au ndio unamtetea kwa kutokukosea kwake? Haha, nimecheka kwa sauti asee...
Wanawake bwana mara v-tambi mara ndevu mara v-bamia mara huyu anataka pesa hee...Basi tunawapa pesa mkanunue v-tambi, ndevu na v-bamia mpate kupika mle mshibe. Only thing we need in return ni silence na peace of mind.
Mkuu unauhakika miaka ijayo hutoitaji miujiza. Usije ukalaumu miaka ijayo kwamba ooh mbona miujiza hamna. Kumbe ni kwa kuwa we ulitaka miujiza mwaka huu tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.