Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

Edson david42

Member
Mar 22, 2017
27
9
Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana, naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private kwa advance PCB yenye ada isiyozidi milioni tatu. Naomben msaada wenu plz.
 
nimehitim kidato cha nne mwaka jana naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private kwa advance PCB yenye ada isiyozidi M3. naomben msaada wenu plz
Kwa Marian umeshachelewa..maana toka mwezi.wa Pili wanafunzi tayari walishaanza Form.Five...

Awali ya yote jinsia yako tafadhali
 
nimehitim kidato cha nne mwaka jana naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private kwa advance PCB yenye ada isiyozidi M3. naomben msaada wenu plz
Jaribu hizi..
1. St Joseph Cathedral Dar
2. St. Mary Goret Sec School...wanachukua wanaume wachache sana
3. Star Sec School Arusha
4. Msolwa(St. Gasper) Morogoro
5. St Peters Claver Dodoma
6. St. Amedeus Kilimanjaro
7. Rosimin Tanga
 
nashukuru Sana mkuu
 
Back
Top Bottom