ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,709
- 2,272
We muongo.hiyo misosi goli hata nusu hupigi.wenzetu waneambiwa wakila hivyo hamu ya mechi hakuna
mbele ya vikombe vitatu vya karanga mbichi, korosho na almond nuts?We muongo.hiyo misosi goli hata nusu hupigi.wenzetu waneambiwa wakila hivyo hamu ya mechi hakuna
mkuu mwanzoni ni gharama kidogo lakini baada ya muda hutakuwa na gharama.andaa bustani ndogo ktk mifuko,ndoo mbovu,magunia n.k panda mbogamboga,mpunga kidogo,mchaimchai,nk utabaki na gharama ya matunda ambayo huwezi yapanda na kuvuna kwa muda mfupiMama Sky Eclat haya mambo utayaweza tu kama uchumi uko stable, otherwise ni kujidanganya hasa kwetu walala hoi mazingira hayaruhusu.
mkuu ni kweli unakuwa ns muonekano usio wa uzee ila hutakuwa na.nguvu UNAKUWA MWEPESI BALAA! KAMA UNAI wish ningekuona and wewe uanze kula hizo mboga na matunda mi niendelee na michanganyiko ya nyama. Then after twenty years tu judge nani kazeeka.
Sikatai kula vibaya kunaweza kukaharibu mwili.
Lakini pia kula mboga tu hautengenezi mwili. . .yaani hakusaidii kutozeeka .
Madam ukifika 70 utaonekana 70 tu regardless ulikua unakula vizuri vip?
So usijitese kabda kama ni hobby yako
Aksante kwa ushaurimkuu mwanzoni ni gharama kidogo lakini baada ya muda hutakuwa na gharama.andaa bustani ndogo ktk mifuko,ndoo mbovu,magunia n.k panda mbogamboga,mpunga kidogo,mchaimchai,nk utabaki na gharama ya matunda ambayo huwezi yapanda na kuvuna kwa muda mfupi
Wanga unatafuna viazi vitamu au mihogo mibichi.UKILA KWA UTARATIBU UMAKUWA KAMA "KISAMA" KULAKULA.KILA MARA NA NJAA HAIELEWI MBOGAMBOGA INSLATAKA WANGA ILI ITULIE !.NISHUGHULI SI JAMBO DOGO NA UKUBALI KUWA KARIBU NA CHOONI LAZIMA UKASALIMIE KILAMARA TENA
hahahahahaa mkuu nimeanza na kuchekaWanga unatafuna viazi vitamu au mihogo mibichi.
Mungu ametuwekea acid tumboni ambayo inaua vidudu vingi kabla ya digestion process kuanza, unapoanza kutafuna tu na acid inaanza kujitenga tumboni kusubiri chakula kuingia.hahahahahaa mkuu nimeanza na kucheka
hivyo viazi au muhogo mbichi tabu yake ipo hapa:-
ILI UULE MBICHI BILA MADHARA NI LAZIMA
UUKOSHE KWA MAJI YA MOTO ILI KUUA VIJIDUDU NA VIMELEA VYAKE,KIUKWELI UKIFANYA HIVI UKILA LAZUMA UVIMBIWE NA UPEPO UTAKAO TOA TUMBONI HARUFU YAKE HAIPIMIKI!!!
UKILA BILA KUKOSHA KWA MAJI MOTO TUMBO LAKO LINAKUWA NDO MAKAZI YA MINYOO NA BAKTERIA WA AINA KIBAO .ITAKUWA TAIFODI WEWE,AMIBA WEWE!!
mmmh!ni sawa ila mkuu mimi nilikuwa mtumiaji wa hayo mamsosi yasiyo pikwa yaliyonikuta nime ghairi muhogo na viazi na mahindi machanga mabichi nimebaki na mbogambiga ndo nakula raw lakini wanga lazima upikwe na nipo vema kabisaMungu ametuwekea acid tumboni ambayo inaua vidudu vingi kabla ya digestion process kuanza, unapoanza kutafuna tu na acid inaanza kujitenga tumboni kusubiri chakula kuingia.
Ilikuwa ni mapito tu ya njia ulikutana na rough road, usingekata tamaa mkuu.mmmh!ni sawa ila mkuu mimi nilikuwa mtumiaji wa hayo mamsosi yasiyo pikwa yaliyonikuta nime ghairi muhogo na viazi na mshindi mabichi nimebaki na mbogambiga ndo nakula raw lakini wanga lazima upikwe na nipo vema kabisa
mkuu sky Eclat niliishi kwa miaka zaidi ya 20 bila kuugua typhoid,u.t.i ,minyoo,tumbo la kuhara na malaria nikiwa nakula mbogamboga mbichi na matunda wanga unapikwa.Ilikuwa ni mapito tu ya njia ulikutana na rough road, usingekata tamaa mkuu.
You nailed it mkuu.Hta kwa matumizi kma ya kawaida hapo nyumban, unaweza pia ukapunguza baadhi ya vyakula na vinywaji. Achana na soda, ongeza sn maji, kula mboga mboga kwa wingi. Fanya sana mazoezi, punguza matumizi ya sukar na waambie nyumban kutumia kiwango kdg cha mafuta wakat wa mapishi.
Pia kuwa makini na KIWANGO CHA CHAKULA unachokula. Kuna mwingine sahani ya wali inajazwa mpk juu, au ugali mkubwa utafikiri wapo wa3, kumbe yupo peke yake. KULA KWA KIASI, jazia njaa yko na maji ukiweza. Siku ukiweza kupata matunda, basi ni bora zaidi.
Hyo ni kwa yale matumizi ya kila siku ya kawaida BILA KUONGEZA HELA YOYOTE.
Kumbuka;
"YOU ARE, WHAT YOU EAT".
Hata steaming mkuu inapunguza ubora ingawa ni kwa kiasi kidogo.hapo kosa sio moto,kosa ni jins gani unapika na jinsi gani unakula
Ahsante kwa elimuHata steaming mkuu inapunguza ubora ingawa ni kwa kiasi kidogo.