umenena ukweli mtupu
Nimeanza mwezi March na kuku 35 tu
Leo ninao kuku 120 (110 ni vifaranga na mayai tunaokota karibu 5 kila siku)
Ninaona taa ya kijani mbele maana soko ni uhakika kabisa
Hilo sio jibu la mtu aliyestaarabika kabisa maana kasema pesa aliyonayo kuwa ni mil 7 sasa kuitana mbwa na mara kapeleke kwa baba yake yanaingiaje hapa!ingekua busara kama ungemjibu tu kistaarabu kua pesa hiyo haitoshi
Mkuu Mshana naomba kujuzwa nimeagiza engine oil ya gari RAV 4 ya mwaka 1997 nimeletewa ya BP (Visco 3000 SAE 20W-50).Kwa gari hiyo inaweza kua oil sahihi???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.