Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Dah Maisha ni safari ndefu dah
Mkuu Ulivyo wakuta mkuu hili ni fumbo??Kumbe binadam wengi wanashare tabia, hii kitu imenigusa sana. Mama yangu walipigana na baba mwaka 1992 nikiwa form 2, mama katolewa jino moja hiyo siku.
Siku nyingine wakapigana tena, nikasikia kilio kikubwa cha mama, sikuvumilia nilijitosa ndani, nilivowakuta najua mimi...niwaachanisha, ila kuanzia hapo mama akatoka hadi imepita miaka 10 hawako pamoja.
Baba yangu akaanza kunishawishi nimshawishi mama arudi, imenichukua muda mwingine wa miaka 5 nikimshawishi mama waishi pamoja na mama. Hata hivo alikubali kwa masharti magumu sana, ambayo mzee yamemshinda hadi leo, mojawapo ambalo wao walielezana kwa faragha ni " hakuna ushiriki wa ibada ya mwili"...kitu ambacho kati yao hakuna ambaye amesema wazi ila nilielezwa na dada yangu...hayo ni yao mi siingilii
cc Ambiele Kiviele
aah kumbe coped!Tunashukuru kwa story nzuri japo ya marudio lakini inatukumbusha mbali sana katika maisha ya ndoa
Acha tu ndugu yangu...Kumbe binadam wengi wanashare tabia, hii kitu imenigusa sana. Mama yangu walipigana na baba mwaka 1992 nikiwa form 2, mama katolewa jino moja hiyo siku.
Siku nyingine wakapigana tena, nikasikia kilio kikubwa cha mama, sikuvumilia nilijitosa ndani, nilivowakuta najua mimi...niwaachanisha, ila kuanzia hapo mama akatoka hadi imepita miaka 10 hawako pamoja.
Baba yangu akaanza kunishawishi nimshawishi mama arudi, imenichukua muda mwingine wa miaka 5 nikimshawishi mama waishi pamoja na mama. Hata hivo alikubali kwa masharti magumu sana, ambayo mzee yamemshinda hadi leo, mojawapo ambalo wao walielezana kwa faragha ni " hakuna ushiriki wa ibada ya mwili"...kitu ambacho kati yao hakuna ambaye amesema wazi ila nilielezwa na dada yangu...hayo ni yao mi siingilii
cc Ambiele Kiviele
[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji13]Pole sana mkuu , lakini naomba uendelee.
Maisha Ndivyo Yalivyo Ndugu YanguMhhhh...
Hii story imenijeruhi hisia zangu halafu inanitia hasira...
Namshukuru Mungu aliyeumba kitu "kusahau"
Kuna kina mama wamepitia mahusiano magumu sana, lakini walitabasamu nyuma ya machungu yao ili kuwapa watoto moyo kuwa they are okay..
Maisha Ya Kweri HayaHII STORY IMENIGUSA SANA
Yap Sema Amen Ndugu YanguDuuuh kuna watu wanapitia magumu sana
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu tuliolelewa vzr na kupata upendo wa wazazi
Kwanin JamanAiseee
Sintaisoma hata mwendelezo wake
Shukuru Mungu Mama ako Alipigwa akatolowa jinoKumbe binadam wengi wanashare tabia, hii kitu imenigusa sana. Mama yangu walipigana na baba mwaka 1992 nikiwa form 2, mama katolewa jino moja hiyo siku.
Siku nyingine wakapigana tena, nikasikia kilio kikubwa cha mama, sikuvumilia nilijitosa ndani, nilivowakuta najua mimi...niwaachanisha, ila kuanzia hapo mama akatoka hadi imepita miaka 10 hawako pamoja.
Baba yangu akaanza kunishawishi nimshawishi mama arudi, imenichukua muda mwingine wa miaka 5 nikimshawishi mama waishi pamoja na mama. Hata hivo alikubali kwa masharti magumu sana, ambayo mzee yamemshinda hadi leo, mojawapo ambalo wao walielezana kwa faragha ni " hakuna ushiriki wa ibada ya mwili"...kitu ambacho kati yao hakuna ambaye amesema wazi ila nilielezwa na dada yangu...hayo ni yao mi siingilii
cc Ambiele Kiviele
Imenitia sana huzuniKwanin Jaman