Recent content by Illakwahhi

  1. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Profesa wetu wa sheria hajui sheria zetu?

    Hahaha propesa kabudi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Uganda Vs Rwanda kimenuka

    We unajua maana ya proxy war?yaani Tanzania iwe uwanja wa vita kati ya Rwanda na Uganda?wakt huo huo unasema jiwe ataunga mkono upande gani kwa vita unayoizumgumzia?Haya Yemen na Syria ni proxy war ya Saudia na Iran,sasa Tanzania iwe proxy ya Uganda na Rwanda jamn wakuu huyo Jamaa anajielewa...
  3. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania 2025 Yawezekana Akawa Kabudi

    Magufuli anaumbua watu?hahahaa we kiazi kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Je, dhihaka afanyiwayo Rais Magufuli mitandaoni na (invisible men's)itamkatisha tamaa ya kulitumikia taifa kwa mtizamo ulele alioingia nao?

    Kulitumikia taifa ndo usikaguliwe na CAG,ugawe watu,piga risasi,kamata huyu,tumia hivi bila bunge?tril 2.4 ndo kulitumikia taifa? Bora tukodi wazungu watutawale aiseee yaani mtu 2.4 tril hazipo bado yuko ifisini na anajidai anapambana na rushwa? Nimewadharau sana wadanganyika Sent using Jamii...
  5. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi waiomba Serikali kuwapiga marufuku wachungaji wanaowandaa watu kwa ajili ya miujiza

    Mbn mm ni mwananchi na sijaomba serikali? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imegoma kumfutia dhamana Tundu Lissu baada ya Jamhuri kuomba afutiwe

    Fact Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Hahahha ili tuwe wazalendo 1.tenda ilitangazwa lini? 2.CAG amekagua manunuzi? 3.je ni kipaumbele chetu? 4.kwann inunuliwe cash? Halafu kwa ukandamizaji huu wa kidola unaoendelea unategemea uzalendo ? Kwann awamu hii mnaongea sana uzalendo?mhalalishe upigaji? Halafu jiulize Baba yako akitumia...
  8. Illakwahhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadiliane: Je, unadhani mapenzi ya kukutana mtandaoni ni salama kiasi gani?

    Safe kabixa nishakutana na kibao hata saiv mahusiano yanaendelea vzr,tatz ni uaminifu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee akamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya Serikali, ahojiwa na kunyimwa dhamana

    Weka tusi acha maneno mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Madikteta ya dunia huondoka mmoja mmoja. Next up: Nicolas Maduro

    Venezuela ndo ina largest reserve of oil ikifuatiwa na saudia,mm nazungumzia demokrasia,sijakuambia uniletee listi ya production hapa,we ubane watu at to the edge halafu ukingolewa unasema wanasingizia watu?mabeberu ndo walimwambia aendeshe Sera za ukandamizaji? Mm nachojarb kukuelewesha ni...
  11. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Hahahahaha wazalendo wa awamu hii wanachekesha hawataki kukaguliwa na CAG Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Madikteta ya dunia huondoka mmoja mmoja. Next up: Nicolas Maduro

    Hivi unajua bunge la Venezuela linawapinzani wengi kuliko chama cha maduro? Maduro kafunga wapinzani wengi sana wa kisiasa,uchaguzi wa vioja,deni kubwa la taifa kutokana na matumizi makubwa na ukandamizaji thidi ya haki za raia hivi mabeberu ndo wamemwambia anyanyase watu wake hivyo?angefuata...
  13. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Mwanasiasa kama wengine naye ashughulikiwe mambo ya Karma is bitch ni dua za kuku

    Hoja wameshindwa wanakimbilia risasi,wanaziba watu midomo ili wizi wao usigundulike,na upinzani wakiamua kuwashughulikia the same way mfanyavyo mtapona?maana ninyi ni mabingwa wa kufeli kila k2 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa maaskofu Katoliki huko Vatican, je nani kaenda toka Tanzania?

    Hahahahaha hawa wanaamka asubuhi akivimbiw makande wanajiita maaskofi,kazi yao kusifu juhudi hopeless kabixa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Illakwahhi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

    La saba au form 4 failure Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom