Je, dhihaka afanyiwayo Rais Magufuli mitandaoni na (invisible men's)itamkatisha tamaa ya kulitumikia taifa kwa mtizamo ulele alioingia nao?

Kuna wimbi la mashambulizi makali ya dhihaka juu ya juhudi za rais katika kulitumikia taifa kama mkuu wa nchi,je hii inaweza ku demorise kasi yake ya utumishi?

Nawapongeza wale wanao kosoa ,elekeza,shauri,na kutoa mawazo mbadala kwa staha,huo ndio utanzania halisi.
Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hufai, siyo kwa kujipendekeza huku.Huteuliwi ng'oo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulitumikia taifa ndo usikaguliwe na CAG,ugawe watu,piga risasi,kamata huyu,tumia hivi bila bunge?tril 2.4 ndo kulitumikia taifa?
Bora tukodi wazungu watutawale aiseee yaani mtu 2.4 tril hazipo bado yuko ifisini na anajidai anapambana na rushwa?
Nimewadharau sana wadanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hapa

Korosho imekuaje?,za kuambiwa changanya na zako,utaliwa kiboga soon!

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190221-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom