Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

"Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...

KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA"...

Sent using Jamii Forums mobile app


emoji115]wewe kum*** soma ulicho andika, tangu lini polisi waliajiri std 7 toka jkt!!

Jf ni sehemu ya kuelimishana acha kujaa 'nyembe'

5/5
Mm nina wahuni wangu kibao darasa la saba wapo huko... niliwaacha wakizama huko polisi mi nkasepa zangu maeneo mengine...
Ndio maana nimekuambie we fala..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nina wahuni wangu kibao darasa la saba wapo huko... niliwaacha wakizama huko polisi mi nkasepa zangu maeneo mengine...
Ndio maana nimekuambie we fala..

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha matusi basi ila nikwambie tu hakuna std 7 toka jkt akajiunga na polisi, rejea ajira ya polisi mwaka jana ambayo imeajiri toka jkt tupu(ili tupunguze kubishana)

5/5
 
Acha matusi basi ila nikwambie tu hakuna std 7 toka jkt akajiunga na polisi, rejea ajira ya polisi mwaka jana ambayo imeajiri toka jkt tupu(ili tupunguze kubishana)

5/5
Mwaka jana...?? Mi nimekwambia ambao nilikuwa nao... 833kj.. wametusua polisi na darasa la saba zao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama chuo umemaliza miaka kadhaa iliyopita X
Kama umri wako umesonga sana X.
USHAURI:Ukitaka kwenda polisi ewe kijana jiunge mara tu umalizapo kidato cha NNE au SITA kupitia zile special form zinazoletwa mashuleni, utasoma kwa amani ukiwa kazini.
The same to jeshi njia rahisi ya kuingia ni pale unapomaliza kozi ya jkt mujibu wa sheria.
Kuna mtoto wa brigadier ana bachelor ya Mechanical Engineering na bado yupo mtaani ingawa jeshi analipenda.
Tanzania hii si ile ya miaka 5 iliyopita lazima utumie akili
 
Ndugu,

Wasalaam...

Naomba kujuzwa, je, ninapaswa kuwa na ufaulu kiasi gani ili niwe polisi?

Wanahitaji mtu mwenye division ngapi? au mwenye elimu kiwango gani?



Sent using Jamii Forums mobile app
Form 4 failure tu mkuu na pia unatakiwa kuwa mvivu wa kufikiri na kuchanganua mambo.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Kama una afya njema na elimu ya kidato cha nne sio mbaya.
Kuna jamaa mmoja alienda na vyeti kuomba kazi kwenye kampuni ya mabasi,akapewa usaili wa kunyanyua matairi ya gari;kwa hiyo kuna kazi zingine zinahitaji zaidi nguvu (afya nzuri)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom