mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,906
- 5,085
Aki
Halafu mnataka mpigiwe kura! Dhubutu, not me
Halafu mnataka mpigiwe kura! Dhubutu, not me
Ndo maana nasikitika sanaaaa, hasa vichana wa chadema mna matatizo, hamjui hiyo ni mali yenu pia?Mbegu hii mmeipanda wenyewe, imeota na sasa imeanza kutoa matunda. Hivyo kubalini tu matunda yake.
Sasa mnashangilia badala ya kusikitika?
Nimesikitika kuona Taifa lina vijana waliokosa uzalendo mpaka level hii,
Hahahha ili tuwe wazalendoSasa mnashangilia badala ya kusikitika?
Nimesikitika kuona Taifa lina vijana waliokosa uzalendo mpaka level hii,
Leo kuna shamrashamra hapo ufipa hadi usiku, makamanda wanapongezana kufuatia kugongwa kwa Dreamliner, duh kaaz kwel kwel.Salaam wakuu,
Nasikitika kuwapa taarifa kwamba ndege yetu pendwa iliyopokelewa hivi karibuni, imegongwa.
Haiwezi kufanya kazi hadi matengenezo yafanyike.
Kwa ninavyojua, hii inaondoka na watu kuanzia juu, sababu imegongwa na ground handling company ambayo haijawa certified na IATA au ISO.
Ndege yetu tunahojivunia imegongwa na Kampuni ya NAS. Mbaya zaidi baada ya kogongwa imefichwa. Sio rahisi kuiona kwamba uipige picha, ila tumejitahidi kupata picha.
Inadaiwa kuwa NAS wamekubali kulipia gharama za matengenezo yake.
NAS ground handling company, Makao makuu yake yapo Mwanza ndo wakaletwa Dar. Kumbuka Swissport hairuhusiwi kuhandle Ndege za ATC.
View attachment 1031584
SERIKALI ya Tanzania ilipokea Boeing 787-8 Dreamliner hii siku Jumapili Julai 8 mwaka 2018 ambapo Viongozi wakuu wa serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa Rais John Magufuli, walikuwepo kiwanjani wakati ndege hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 262 ilipowasili.
Bei ya ndege hii inakadiriwa kuwa $224.6 milioni (Sh512 bilioni za Tanzania) kwa mujibu wa taarifa kwenye tovuti ya kampuni ya Boeing.
Ndege hii ilanza safari za nje kwa kubeba shehena ya nyama ya Mbuzi kutoka mwanza kuelekea Dubai.
Wacheke ndege kugongwa au kusukumwa?Wakenya hamieni kwenye jukwaa hili mje mtucheke MK254 na wenzako, halafu muanzishe uzi kwenye jukwaa lenu
Hapo uchunguzi na utumbuzi ndio unafata!Leo kuna shamrashamra hapo ufipa hadi usiku, makamanda wanapongezana kufuatia kugongwa kwa Dreamliner, duh kaaz kwel kwel.
Sasa mnashangilia badala ya kusikitika?
Nimesikitika kuona Taifa lina vijana waliokosa uzalendo mpaka level hii,
Hawa ndio wasiopenda maendeleo ya taifa kwa sababu ya upumbavu wa vyama.....Sasa mnashangilia badala ya kusikitika?
Nimesikitika kuona Taifa lina vijana waliokosa uzalendo mpaka level hii,
Unadhani uzalendo watu wanazaliwa nao au wanafundishwa au wanakua wazalendo kwa kuona matendo ya viongozi wao?Sasa mnashangilia badala ya kusikitika?
Nimesikitika kuona Taifa lina vijana waliokosa uzalendo mpaka level hii,
Hawa ndio wasiopenda maendeleo ya taifa kwa sababu ya upumbavu wa vyama.....
Ndege ikiwa inafanya kazi wanachukizwa, imepata mtihani wanasherekea.... wafrika shughuli sana
Acha uvivu, soma habari mpaka mwisho
Vyote mkuu, waone ujinga wetu hahahahaWacheke ndege kugongwa au kusukumwa?