2025 Yawezekana Akawa Kabudi

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa
 
Kitu gani umekipenda anapotoa maelekezo na majibu?
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa
acha kuota wewe 2025 kabudi atakuwa na miaka mingapi?
 
Huyo Kabudi hajawahi kushinda ata umonita
Haaaaahhhh
IMG-20190303-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana anajengewa uzoefu katika siasa.
Hata Magufuli mlisema hivyo hivyo kuwa Hana uzoefu leo hii anawaumbua.

Tofa
Yaani unashindwa kuona uharibifu alioleta Jiwe kwa taifa hili mpaka sasa? Ama kweli TZ kuna watu ni mizigo haina uwezo wa kutambua jambo kwani wamechotwa na propaganda na uwongo wanao pewa kila kukicha.
Hebu jitambueni, hakuna heri nchi hii hadi ccm itakapo wekwa pembeni. Nayo ni 2020.
 
kwani kuwa rais ni lazima uwe waziri wa mambo ya nje?mbona magufuli hakuwahi kuwa waziri wa mambo ya nje lakini sa hv ni rais
 
Back
Top Bottom