Jiwe linakuja ni kweli lakini jiwe hilo ni Yesu. huo ni unabii wa siku za mwisho ambao umeandikwa kwenye biblia. soma Daniel na Ufunuo utaona habari ya jiwe.
Sim tank ndiyo tank imara hata bei yake ipo juu kidogo. Hayo mengine ni kawaida tu. Sim tank nao Wana brand kama mbili hivi. Hivyo tambua kwamba hakuna sim tank ya lake. Hiyo ni tank ya lake. Simtank ni kampuni inayojitegemea kama ilivyo lake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.